Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, Mhe. Mbarak Batenga, amewaahidi Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya kwamba moja ya vigezo muhimu vya kupima utendaji wake ni kutatua kero ya maji...
Bila maamdano haki haipatikani.
Maandamano yaitishwe nchi nzima mpaka waseme po.
Katiba mpya ndio suluhu ya ufisadi na na wanasiasa wezi kama CCM mtandao.
Bila maandamano hatupati katiba mpya.
Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mubarak Batenga, amefanya ziara katika vijiji vya Matondo na Itumbi na kugundua changamoto kubwa zinazokabili jamii katika maeneo haya.
Katika ziara hiyo, alikuta hali...
Tangu mh Nchimbi ajiudhuru mpaka sasa ni takribani siku ya nne lakini hakuna kauli yoyote ya mkuu wa nchi.
Kwa namna ya ukubwa wa jambo lenyewe ilipaswa mpaka sasa nchi iwe imesikia kauli yoyote...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa, ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani humo kuchukua hatua za haraka dhidi ya mkandarasi wa mradi wa kituo cha mabasi wilayani...
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema anaamini kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kupoteza uelewa wa nafasi yake kama chama...
Sidhaniii kama yeye alichukua fomu na kutafta WADHAMINI ili agombee Urais, yeye hakupitia HATUA hii, amdhaka yake yatakumbukwamaisha yetu sote.
Je walio mpitisha kinyume katiba Yao ndo...
Si mbaya nikiamini kwamba ktk miaka 10 ijayo issue ya Tanzania ya viwanda itakuwa sawa na kilimo kwanza. Sababu nitazianika hapa km Mungu atasaidia nifikie hiyo miaka nikiwa hai. For the moment...
Bila kupepesa macho salamu na shukrani zangu za mwaka mpya naelekeza ktk timu ya wanasheria wa CHADEMA. Kwa weledi, tenacity na mioyo yao mikubwa. Itakuwa mbaya kama siasa, itikadi au chuki...
Duh. Nipo napata gahawa hapa, najiuliza miaka sio mingi nyuma. CCm ilikuwa na assets kubwa ya wachambuzi wa masuala ya siasa.Ilikuwa na waandishi wengi kila kurasa za mbele zilijaa chambuzi mbali...
Wako wapi Hawa vijana? Hivi Hamisi kigwangala ameweza kulipa ule mkopo wa pikipiki alizotoa kwa wananchi Kisha akachinjwa?
Yu wapi Januari makamba mtoto pendwa wa jakaya na mwandishi wake wa...
Yaani Kuna mambo ya yanaendelea Tanzania yanaumiza sana, yaani ukienda serikali utazania hakuna kilichotokea Tanzania,
Wakuu wa MIKOA Sasa wameanza kubadilishwa tu mtu kama.mtanda ambaye polisi...
Uzi huu ni kwaajili ya kuwakumbuka wanasiasa wote ambao kwa namna fulani wameonja joto la Rais Samia kwa kuwekwa kando ya madaraka.
Naanza na Balozi Emmanuel Nchimbi, Spika Job Ndugai.
Endelea...
Hakuna ukweli unao Uzi kama kusikia mzee kama Butiku tunae juzwa alikuwa House Boy Nyerere anasema heti CHADEMA inapata ufadhili kutoka kwa Mabeberu ili Hali ccm imejengewa ukumbi na chuo kikubwa...
Kwa haraka haraka nadhani wamejikita kuangalia asili ya mtu na si tabia zake.
Serikali ya sasa ingehitaji makamu chawa hasa.
Ndejembi ni mtu social , sikuwaahi kumuona kwenye press za kichawa...
Hili ni swali la msingi sana kwa kiongozi yoyote yule duniani.
Unaowatawala hawakutaki, wanakuona wewe ni fisadi na muuaji. Hakuna watu wa kukuambia picha halisi ya nini kinachoendelea?
Kwa nini...
Nia nzuri ya CCM kutaka kuondoa kiu ya waliokuwa wanashinikiza na kuanikiza katiba mpya inaenda kuondoka rasmi.
CCM kupitia Rais Kikwete ilijaribu mchakato wa kuhuisha Katiba lakini ilishindikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.