My Take
Wale wanafiki,ma snitch na wasaliti (Yuda) wataendelea kuteseka sana na vyeo wanavyotafuta Kwa kuwapiga Shoti wenzao hawatakuja kuvipata qataishia kuviona Kwa wengine tuu.
Naunga mkono...
Wanabodi,
Wakati wengi wengi bado tumepigwa shock na bumbuwazi kwa kilichotokea haswa hii double tragedy ya VP. Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi, hili ni bandiko la kuwaelimisha watu na kuwasisitiza...
Gwiji la sheria, Profesa Issa Shivji amesema Taifa haliwezi kuponywa wala kujenga demokrasia ya kweli ikiwa hakuna uwajibikaji wa kisheria dhidi ya mauaji ya raia yaliyotokea wakati wa Uchaguzi...
Chief Sadiwabu Mussa Mitondo wa Pili akizungumza kwa niaba ya Wazee wa Nyasa wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluh Hassan kwa kumchagua Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea mwenza wa Uchaguzi...
My Take
Inaweza kuwa kweli au pia kujikosha Kisiasa.
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu, amedai yeye ni mtumishi na wiki chache zilizopita alizungumza na Mungu, hali iliyofanya...
Profesa Issa Shivji, amesema kuwa Taifa linaendelea kupitia katika maombolezo na maumivu makali ya kisaikolojia kutokana na matukio yaliyotokea tarehe 29 Oktoba, huku akisisitiza kuwa njia pekee...
"Tukisimama watu kama sisi lazima tunyooke kwenye ukweli. Twendeni tukamsaidie mama afanye kazi yake kwa nafasi. Asifanye kazi huku anasikia la huyu, huku anasikia la yule, huku majungu haya. Na...
Huu ujinga sana wanaoleta sasa
Hawana sare
Hawana magari maalumu wana landruiser kadhaa ambazo hazina plate number wanatembea na plate Nunber mbali mbali na spana wana funga wanapotaka kukamata...
Kuna Uzi nimeusoma mahal humu humu mleta uzi anasema wabunge watumie nafas yao kupiga kura ya hapan kwa Makam ili asipite..
Ujue ni vitu ambavyo haviwezekan kwa sababu mtu kama Baba levo ambae...
Umofia ndugu zangu kutoka Bongo Land !
Binafsi ilifikia Time nikahisi Ubongo una- cease kwa ubishani ambao hauna faida kwa Mwananchi wa kawaida mfano, atasimama Waziri atasema hakuna kama Mama...
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Shaban Ally Lila, amesema tume...
Ndugu Watanzania na wasio watanzania wenye nia njema,Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) kwa unyenyekevu na upendo tunazidi kuwasihi Watanzania kutafuta kwa bidii MARIDHIANO ili...
Kama wewe kweli ni mzalendo utaendelea vipi kuwa ndani ya Chama ambacho Makamu Wa Rais wa nchi anafukuzwa kwasababu ya kusema watanzania wapiganie katiba mpya.
Tujiulize kwanini hao waliobaki...
Mkurugenzi Mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku kupitia podcast ya MS ameeleza kuwa Chadema wanafadhiliwa wala siyo.
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na...
Durban,
South Africa
SAMIA KUHUDHURIA Mkutano wa 46 WA SADC wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali huko Durban, Afrika Kusini, tarehe 17 Agosti 2026
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...
Barua kutoka kwa Maaskofu
UJUMBE WA ASKOFU KWA DR. NCHIMBI JUU YA USALAMA WAKE!
Mpendwa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi!
Pokea salaam kutoka kwetu sisi tulio Askofu.
Tunatambua kuwa wakati huu...
Ukubwa wa tukio hilo una sababu Kuu 3.
1. Cheo chake kilikuwa kikubwa sana
Huyu si mbunge wa kawaida, Alikuwa:
Katibu Mkuu wa CCM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
Balozi
Kumfukuza mtu...
Spika wa Bunge, Mussa Zungu leo amepokea rasmi jina la Makamu wa Rais Mteule, Deogratius John Ndejembi lililopendekezwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Jina hilo limewasilishwa kwa Spika na Katibu...
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Agosti 26, 2026 na M & S Podcast, alipoulizwa ni mwanasiasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.