Samia muachie Tundu Lissu

Samia muachie Tundu Lissu

Yaan unaweka akina babu tale Bungeni unemfumga Lissu huu ni upuuzi

Likitokea jambo tusianze kufufua nyuzi achia Lissu
Anayemshauri Samia amuweke kizuizini Lissu ni huyu mzee wa Gombe
WhatsApp Image 2026-05-07 at 15.36.24.jpg
 
Hii ni maajabu, imagine product ya Illboru special school iko kizuizini halafu form 4 failure yuko Ikulu...nchi kupata maendeleo hapo ni ndoto, eti mtawala hajui hata exchange rate ya pesa maarufu zaidi duniani kama US dola!!!.
 
Ndunia haiko fair
 
Back
Top Bottom