Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni muhimu tukajulishwa Nchimbi yuko wapi ? Kutokana na sasa hivi watu kutekwa na kupotea kwenye mazingira ya kutatanisha pale wanapokua wamegusa maslahi ya watu wa Chache ndni ya CCM...
15 Reactions
55 Replies
817 Views
Sheria ya nchi hii kwasasa inatafsiriwa kulingana ni nani anatakiwa kuhukumiwa. Kangarooo. Mwanasheria Mkuu Leo anatafsiri vitu almradi tu Nchimbi awe na hatua. CCM kajifunzeni CHADEMA tangu...
4 Reactions
0 Replies
70 Views
Jaji Mstaafu, Joseph Warioba, ameeleza wasiwasi wake kuhusu mazingira yaliyogubika kujiuzulu kwa aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ikiwemo kitendo cha simu zake kutopokelewa na...
3 Reactions
2 Replies
201 Views
Sekta ya habari ovyo sijuhi hata wana akili gani huu ndo mda wa kumtafuta Nchimbi na kujua nini kinaendelea kweli yupo kwake mzima sababu za kujiuzulu ni nini...
15 Reactions
62 Replies
909 Views
  • Redirect
Nchi mnaiendesha kama wauza machungwa …. Matakooo yenu
0 Reactions
– Replies
– Views
CCM mnatupeleka pabaya chama kimeshikiliwa na wahuni wanafanya wanavyotaka leo hii Nchimbi wa kufukuzwa huanachama kwa kosa lipi? Alafu anafukuzwa na watu ambao tunamashaka nao kama kweli wana nia...
1 Reactions
0 Replies
29 Views
Wanatafuta justification ya walichomfanyia Nchimbi kukichafua Chama. Chadema haipaswi kufananishwa na ccm , iwe mfano wa kuigwa wa demokrasia ndani na nje ya chama.
3 Reactions
1 Replies
43 Views
Wabunge walipokuwa wakiwasili Bungeni jijini Dodoma, Agosti 27, 2026 kuhudhuria Kikao cha Pili cha Mkutano wa Nne wa Bunge la 13.
12 Reactions
24 Replies
658 Views
Brian Mundubile alilalamika kwamba Zambia wanatumia mbinu za Tanzania za kudidimiza upinzani, na Serikali ya Tanzania imepelekea watu kuhakisha hashindi na kuhakikisha wafanya mbinu chafu za...
3 Reactions
4 Replies
99 Views
There is no fixed legal time limit for how long an accused person must continuously stand in the dock during a court session, but standard practice dictates that a defendant should not be forced...
2 Reactions
4 Replies
98 Views
Utawala wa Samia umefanya makosa makubwa ya kimkakati (strategic mistakes) yaliyoweka fursa ya kushitakiwa na kunyongwa. Kosa la kwanza ni "Coup D'etat" mtu yoyote anayejua siasa na sheria...
3 Reactions
0 Replies
63 Views
TAARIFA KWA UMMA KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA CHADEMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinawataarifu wanachama, viongozi na umma kwa ujumla kuwa Kamati Kuu ya Chama itafanya kikao...
7 Reactions
8 Replies
177 Views
Rais wa Kenya, William Ruto, amekiri kuwa kulikuwa na makosa katika namna Serikali ilivyoshughulikia maandamano ya vijana wa Gen Z mwaka 2024, akitambua maumivu yaliyosababishwa na vifo, madai ya...
1 Reactions
3 Replies
65 Views
Emmanuel John Nchimbi amejiuzulu Umakamu wa Rais. Kamati Kuu ya CCM ikaamua kumvua uanachama kutokana na kile walichodai ni makosa aliyoyafanya. Sasa nimewaza, kama Nchimbi kwa nafasi yake ya...
8 Reactions
29 Replies
561 Views
Jaji mstaafu Joseph Warioba, ameonesha wasiwasi wake juu ya uwezekano wa nchi kupata Katiba Mpya kabla ya kuingia kwenye mchakato wa uchaguzi wa mwaka 2029. Akizungumza leo Agosti 28, 2026...
0 Reactions
7 Replies
311 Views
Friends and Our Enemies, Dante anasema siku zote kuwa ''How you do anything,is how you do everything". Pigo hili la kuondoka kwake na kujiuzulu na hatimae kufukuzwa kwake kwa sababu za kimaadili...
1 Reactions
44 Replies
571 Views
My Take Wale wanafiki,ma snitch na wasaliti (Yuda) wataendelea kuteseka sana na vyeo wanavyotafuta Kwa kuwapiga Shoti wenzao hawatakuja kuvipata qataishia kuviona Kwa wengine tuu. Naunga mkono...
3 Reactions
15 Replies
245 Views
Wanabodi, Wakati wengi wengi bado tumepigwa shock na bumbuwazi kwa kilichotokea haswa hii double tragedy ya VP. Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi, hili ni bandiko la kuwaelimisha watu na kuwasisitiza...
10 Reactions
27 Replies
445 Views
Gwiji la sheria, Profesa Issa Shivji amesema Taifa haliwezi kuponywa wala kujenga demokrasia ya kweli ikiwa hakuna uwajibikaji wa kisheria dhidi ya mauaji ya raia yaliyotokea wakati wa Uchaguzi...
4 Reactions
15 Replies
220 Views
Back
Top Bottom