Kiwango cha tofauti ya nchi zote kabisa za Africa hasa za watu weus na nchi zingine ni kikubwa kwa kila eneo.
Maendeleo, ugunduzi, utafiti, siasa, elimu hata michezo.
Muda wote wenzetu kuanzia kwa watoto wao, wanafundisha, wanazingatia, wanajadili, wanaelekeza maendeleo halisi, ugunduzi, elimu bora kabisa, utengenezaji na uzalishaji.
Sisi ambo ni mafukara wa kujitakia, muda wote tunazingatia, tunajadili, tunahakikisha mambo yasiyo na umuhimu kwa maisha ya binadamu kupewa kipaombele.
Japan na China kwa mfano, watoto wa elimu ya msingi wako maabara, na Viwandani kutengeneza kuunda na kufanya maajabu. Sisi tunawakaririsha nyimbo, za nani sijui.
Akili ya mtu mweusi. Kwa kweli akili ya mtu mweusi.