Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WAKUU KWANZA POLENI NA MIHANGAIKO YA KILA SIKU YA MAISHA. KATIKA PITAPITA ZANGU NIMEONA KUWA MH ABOOU AMBAYE NI NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRICA MASHARIKI AMEPATA MASTERS YA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mbona kimwa mkuu? au mnajipanga kumshtaki Msajili wa vyama? Au mpo mezani mnashughulikia ushauri wa Mzee Mtei? Sisi wapenda mabadiliko/mapinduzi ya kweli tunawasikilizia, Taafaadhali isije kuwa...
0 Reactions
80 Replies
8K Views
Mustakabari wa Nchi yetu unachukua mwelekeo ambao si tu unatishia kuipeleka nchi katika mikono ya watu wachache lakini pia tuko katika ukingo au huenda tayari tuna kuwa remote controlled na watu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
CCM sawa na gari bovu, halitufikishi mbali Dawa ni kurekebisha injini na kubadilisha dereva MNAMO Novemba 2002, waziri wa zamani na mbunge wa miaka mingi, Jackson Makwetta, wakati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kikwete na 'Don Kings' wetu! Johnson Mbwambo Juni 23, 2010 AGOSTI 2008 niliwahi kuandika kuhusu suala la Rais Kikwete kujiruhusu kuzungukwa Ikulu na court jesters; yaani wale walamba...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwandishi Wetu Raia Mwema Juni 23, 2010 Nia ni kufuta ndoto ya Wazanzibar kutawala Bara Hakuwa chaguo la wanamtandao mwaka 2005 Lowassa, Mwandosya, Membe, Masha watajwa kuwania HATUA...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kama Watu tunao, Ardhi tunayo, Siasa safi tunayo, na Uongozi bora tunao, kwanini hatuendelei? Wadau kama mnakumbuka vizuri, enzi za Mwalimu tuliambiwa kuwa, ili tuendelee, tunahitaji vitu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kitendo cha Vuvuzela zinazopulizwa na kutoa mlio kama wa nyuki kushindwa kuisadia Bafanabafana kushinda mechi zake kwenye michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea Afrika ya Kusini, kumethibitisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna habari kuwa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini TAKUKURU inafanya uchunguzi juu ya tuhuma za Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni mbunge wa jimbo wa Isimani mkoani Iringa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
RAIS Jakaya Kikwete wiki hii amefanya uteuzi wa mabalozi kwenye key stations ambazo kuna diplomats wa Tanzania abroad. Mimi ninavyoona, this was a missed opportunity kwa Rais kufanya maamuzi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Rwanda arrests football head on way to World Cup Brig-Gen Jean Bosco Kazura (Photo from Ferwafa - ferwafa.rw/fed) Jean Bosco Kazura served in Sudan's Darfur region The head of Rwanda's...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Maoni ya Mhariri wa RAIA MWEMA Igeni ya Lukuvi kumaliza ufisadi Juni 23, 2010...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mjumbe wa Kamati Maalum, Mariam Ukiwaona Ditopile Mzuzuri ( kushoto)akiikagua kadi ya CCM ya Mwanachama , Mzee Athuman Mohamed Dume ( kulia) wa CCM Tawi la Fulwe, Kata ya Mikese, Wilaya ya...
0 Reactions
44 Replies
11K Views
Huu kama mwaka wa uchaguzi ningependa kupata maoni yako juu ya kitu kimoja ambacho ungependa serikali ya awamu ya tano ikipe kipaumbele. Jaribu kuwaza kama umepata nafasi ya kukaa na Wagombea...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wednesday, 23 June 2010 By The Citizen Reporter President Jakaya Kikwete has made new ambassadorial appointments with senior Foreign Affairs and International Co-operation ministry official...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tunapoelekea uchaguzi mkuu tunawatahadharisha wagombea wote jimbo la Hai kwamba hatuitaji kirusi chochote kile cha CCM katika jimbo letu.Hawamu hii tunataka Halmashauri iongozwe na wapinzani.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu kuna jambo linanitatiza na huwa linagonga sana kichwa changu; Naomba kujua wajibu wa viongozi wanaochaguliwa na wananchi hususan wale wanaochaguliwa kwa njia ya kura (Rais, Wabunge...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF nina swali linaloniumiza kichwa sana hapa...hii mnafahamu ni nani aliyeanzisha ideas hizi 2 1) Rais kuchangiwa kuchukua fomu 2) Kutangaza nia ya kugombea mwaka 2010 Rais kuchangiwa fedha...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani naomba kuwasilisha, KWA KUWA, makala hii imeandikwa na Kibanda, ambaye ametajwa kuwa karibu na Lowassa, NA KWA KUWA, amesema kwamba Lowassa alikuwa mbuzi wa kafara, NA KWA KUWA, yuko...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…