Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,239
kitendo cha Vuvuzela zinazopulizwa na kutoa mlio kama wa nyuki kushindwa kuisadia Bafanabafana kushinda mechi zake kwenye michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea Afrika ya Kusini, kumethibitisha kwamba ushabiki siyo kitu kama wanaoshabikiwa hawana sifa ya ushindi.
Kwa mantiki hiyo CCM imejaa "vuvuzela" ambao hawaisaidii kushinda umaskini wetu, ujinga wetu, maradhi yetu (hata yale ya Ulafi) wala fadhaa zetu. vuvuzela moja lilisikika likisema "ikifika mwaka 2013 Dar es salaam itakuwa haina shida tena ya maji" utafikiri shida ya maji Dar imeanza mwaka jana!!
Ndiyo maana vuvuzela zinawakera wengine!!