Kyela: Rhoda Mwamunyange atangaza nia kupitia CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kyela: Rhoda Mwamunyange atangaza nia kupitia CCM

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mpuuzi, Jun 23, 2010.

 1. mpuuzi

  mpuuzi Member

  #1
  Jun 23, 2010
  Joined: May 29, 2010
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. Hassani

  Hassani JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  sikuelewi broo,huyo aliye kwenye picha ni nani?,na kwanini yatimie,nisidie plz
   
 3. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KWELI YAMETIMIA
  mix with yours
   
 4. mpuuzi

  mpuuzi Member

  #4
  Jun 23, 2010
  Joined: May 29, 2010
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mratibu wa Kitaifa wa Shirika la Kazi Duniani(ILO) Bi. Rhoda Mwamunyange (katikati) akitangaza nia yake ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Kyela kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi. Jimbo hilo hivi sasa liko chini ya mheshimiwa Dkt Harrison Mwakyembe. Wengine kushoto ni Mpambe wa Rhoda na kulia ni Ofisa Habari Mwandamizi wa Idara ya Habari Mwirabi Sise.
   
 5. Hassani

  Hassani JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Ndio dada wa General nini!
   
 6. K

  Kijunjwe Senior Member

  #6
  Jun 23, 2010
  Joined: Mar 3, 2007
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  maelezo mkuu, picha peke yake naona kama bado haijafikisha ujumbe. Au hii ni kwa wale wateule wachache?
   
 7. mpuuzi

  mpuuzi Member

  #7
  Jun 23, 2010
  Joined: May 29, 2010
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndo manake
   
 8. mpuuzi

  mpuuzi Member

  #8
  Jun 23, 2010
  Joined: May 29, 2010
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mratibu wa Kitaifa wa Shirika la Kazi Duniani(ILO) Bi. Rhoda Mwamunyange (katikati) akitangaza nia yake ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Kyela kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi. Jimbo hilo hivi sasa liko chini ya mheshimiwa Dkt Harrison Mwakyembe. Wengine kushoto ni Mpambe wa Rhoda na kulia ni Ofisa Habari Mwandamizi wa Idara ya Habari Mwirabi Sise.
   
 9. K

  Kijunjwe Senior Member

  #9
  Jun 23, 2010
  Joined: Mar 3, 2007
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimekupata mkuu,

  Tnx!
   
 10. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mwaka huu tutaona vituko vya kukata na shoka. Ila kama hajatumwa hakuna neno kabisa.
   
 11. mpuuzi

  mpuuzi Member

  #11
  Jun 23, 2010
  Joined: May 29, 2010
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nimetumwa na nani?
   
 12. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mbona sijakuongelea wewe? Nimemwongelea huyo anayegombe ndugu yangu. Wapo wagombea wengi tu ila wenye dhamira isiyosurutishwa ni wachache sana. Kwa hiyo wengi wametumwa wakawatumia wakubwa wao. Je na huyo kwenye picha ni mmoja wao?
   
 13. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2010
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Macho mekundu........mmh!
   
 14. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,043
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mwakyembe kaza buti!
   
 15. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #15
  Jun 23, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  utabiri wa vurugu ndani ya ccm tunausubiri
   
 16. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #16
  Jun 23, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  kichecheeee!!! wamekula kuku
  msiniulizee!!
   
 17. A

  August JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,507
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Jina lake halina extension, mfano Rhoda Mwamnyange-Asumwise(Macha)Masanja) nk nk au jina la Mwamunyange ndio lilo na uzito zaidi.
   
 18. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #18
  Jun 23, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ........Wamama mwaka huu wameamua, nimependa afro lako tu.Goooooooooo mummy go!!
   
 19. T

  Taso JF-Expert Member

  #19
  Jun 24, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Hana.Aliolewa, ndoa ikaenda mrama. Akaachana na mume. Akaachana na jina la aliyekuwa mume.Maana hakumzaa.Wanawake kama hawa bab kubwa.
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  Jun 24, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sasa mbona mnaanza mineno mbofumbofu? Mwacheni agombee si ndio mnayoiita domokrazia? ala!
   
Loading...