Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

presha inapanda hapa jamani, nipeni data za Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.:israel:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati wana CHADEMA wanashangilia ushindi wa mbunge mpya Vincent Kiboko Nyerere kwenye viwanja vya wazi, mwananchi mwenye mavazi ya CCM alikatisha uwanjani na kujaribu kuharibu sherehe. Amepigwa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Tarime jamani hali ni mbaya sana. Chadema imeshinda lakini kuna mikakati mikubwa ya kuchakachua matokee na kumeibuka vurugu kubwa sana.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
"wataalamu wa utafiti nchini tanzania" Synovet na REDET, fanyieni utafiti hili suala la wananchi waliojiandikisha kutojitokeza kupiga kura. Imeonekena kuwa karibia waliopiga kura nchi nzima ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu vp pale mjin moshi vijijini ni komu au chami?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
inasemekana msimamizi wa matokeo amemtangaza mgombea wa CCM kuwa mshindi huko Tarime baada ya kurudia kuhesabu kura.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kulingana na ITV CCM wameikomboa Halmashauri ya Tarime kwa kupata viti 18 vya madiwani na kuna vurugu kubwa huko. Vipo viti 30 tu............Ubunge na uraisi bado kutangazwa.........
0 Reactions
8 Replies
3K Views
ccm - 28064 chadema - 27334 nssr - 7811 cuf - 7368 udp - 185 tlp - 145
0 Reactions
4 Replies
2K Views
JIMBO LA HAI Kituo cha Kata ya Machame Kusini URAIS 1. Slaa - CHADEMA - 77 2. Kikwete - CCM - 55 UBUNGE 1. Freeman Mbowe - CHADEMA 95 2. Godwin Fuya Kimbita - CCM 39 UDIWANI 1. Richard...
0 Reactions
57 Replies
10K Views
Habari zilizothibitishwa mpaka sasa hayo majimbo tayari CCM chali...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Waheshimiwa wa JF-matokeo ya kituo kidogo cha Sopa-Mwaswale,bariadi ya mashariki ni kama yafuatavyo: Urais:Chadema=59 CCM= 7 APP =1 Ubunge:UDP = 46 CUF = 10 CCM =11 Udiwani:CHADEMA=54 CCM=8 UDP 5...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani mi nahisi ishu ya kuchelewesha utangazaji wa matokeo kuna kitu behind it,hasa ikizingatiwa kuwa hilo linaonekana kujitokeza kwenye yale majimbo yenye utata mtupu.Hizo hesabu hata kama ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna taarifa zinaendelea kuzagaa kuwa Mh JK amekwenda Mwanza leo hii, je hizi habari ni za kweli? Kama ni kweli, je amekwenda kufanya nini???
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Soma mwenyewe ujionee
0 Reactions
10 Replies
2K Views
A clear, true lesson(s) to political leaders!!! Safi sana watanzania.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wizi unaonekana ni wa wazi jimbo la ubungo coz kuna jama ameonekana na makaratasi anataka kuondoka nayo tena akitumia gari binafsi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Lt. Gen. Adulhaman Shimbo huku akiwa amekunja uso alituambiwa tukubali matokeo. Sasa namuomba atoke tena awakumbushe CCM waliokubaliana na kauli yake 100%. Shimbo where are you !!! CCM denies...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nani kashinda mbeya mjini?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Taarifa kutoka jimbo la Kawe inaonesha haya...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari nilizozipata sasa hivi CCM 89% CUF 8% Chadema 3% nitaendelea kuwaabalisha maana CCM inaongoza hata mikoa mingine
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…