Jamani mnajua J.K. yuko Mwanza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani mnajua J.K. yuko Mwanza?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ntemi Kazwile, Nov 1, 2010.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kuna taarifa zinaendelea kuzagaa kuwa Mh JK amekwenda Mwanza leo hii, je hizi habari ni za kweli? Kama ni kweli, je amekwenda kufanya nini???
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,564
  Likes Received: 18,299
  Trophy Points: 280
  Huo ni uwongo, ni moja kati mauwongo mwingi yanayomwagu humu leo, JK anajiandaa kwenda Zanzibar kumsindikiza Dr. Shein kupokea matokeo rasmi yatatangwazwa leo muda wowote kuanzia sasa.

  Tume ya uchaguzi Zanzibar, imeshikwa na kigugumizi kutangaza matokeo rasmi, kwa sasa wanabuni formular ya uchakachuaji!.
   
 3. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Pasco usiwe tu mbishi aisee

  JK ni kweli kaenda Mwanza na haijulikani kaenda kufanya nini huko mpaka sasa hivi.....
   
 4. z

  ze patero New Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hebu tuambieni kweli jamani mnajua wenzenu roho ziko juu ya miti hadi sasa?
   
 5. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Masha is in hard time both Kisiasa na kiafya wakuu!
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Si afie mbali tu!
   
 7. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145

  Kwani haiwezekani kwenda Mwanza na Zanzibar leo hii hii!
   
 8. coby

  coby JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nahisi ni kuchakachua kura za uraisi kwani anajua chadema wanaongoza huko na ndio jimbo lenye watu wengi sana. Naomba mlioko mwanza muwe makini kwani mtadhani jamaa anakuja kwa ajiri ya masha kumbe ni style ya kuchakachua za uraisi then awaachie ubung. Please be careful with this
   
 9. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145

  Ni kale kaugonjwa au?
   
 10. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mkuu mi huko siko ila najua mpaka sasa lazima atakuwa amepata ka-presha!! Mwaka huu hakuna rangi wataacha kuiona.....
   
 11. Mnene 1

  Mnene 1 Senior Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Walioenda Zanzibar ni Mkapa na Mwinyi, jk kaenda Mwanza..
   
 12. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Binasi siamini sana kama anaweza kwenda mwanza maana huko Zanzibar tu hali mbaya, inabidi akaokoe jahazi huko....Istoshe akienda mwanza itabidi apigiwe king'ora kama ilivyo kawaida sasa hapo zi atazua taharuki mji mzima, maan mwanza kwenyewe hali ni tete. hasa ukichukulia kuwa jamaa zake Masha na Diallo hali zao ni mbaya.
   
 13. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,366
  Likes Received: 3,129
  Trophy Points: 280
  Hee........labda sheikh yahaya kamshauri aende ili mgombea mmoja wapo afe kabla ya uchaguzi
   
 14. K

  KipimaPembe JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 5, 2007
  Messages: 1,287
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  JK anataka kuondoka na damu za watanzania. Kwa nini hakuna sehemu hata moja hadi saa hii matokeo rasmi yameshatangazwa? Wanasubiri nini?
   
 15. msikonge

  msikonge Senior Member

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hiki ndio kitu kinachochefua roho, kwani kwenye vichwa vyao hawakujua muda umewadia wa kupisha! Wanataka wazidi kunywa damu ya watz!!!:nono::nono::nono::nono:
   
 16. M

  Makiyuve Member

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  habari za uhakika ni kuwa J.K. yupo Mwanza tangu jana usiku, na mpaka sasa matokeo ya ubunge hayajatangazwa na Masha na Diallo wamekataa kuyasaini. Maelfu na maelfu ya watu wapo halmashauri ya jiji la Mwanza wakisubiria matokeo ya uchaguzi yatangazwe wapewe taarifa sahihi za wapenzi wao watu makini sana Bwana Wenje (Nyamagana) na Higness (Ilemela) wakiwabwaga vibaya Waziri Masha na Bwana Diallo.

  Sasa uwepo wa huyu J.K. sasa hivi Mwanza ni wa kuchakachua au??? Jamani wakitangaza tofauti italeta balaa na kuharibu amani tuliyonayo Mwanza. Nani aokoe janga hili?? Cha kufanya ni kutangaza matokeo halali tu!!!!!!
   
 17. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  nadhani wanataka kuchakachua kaka, kwani kuna team ingine ya viongozi wakubwa toka ccm nayo imeenda zanzibar kukinusuru chama
   
 18. H

  Howdesi Member

  #18
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Amini msiaamini JK yupo mwanza ...... na sasa yupo bugando kumuona swaiba wake masha hoiiiiiiiiiiiii. Nina uhakika maana mie nipo mwanza! Huenda lengo la kuja huku ni kuchakachua. Nina uhakika yupooooooooooooooooo.
   
 19. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  watu wamechoka, hivi kuna tabu gani kuelewa, yani tumechokaaaaaaaa tunataka mabadiliko
   
 20. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mie hofu yangu ni kura za Slaa pia!!! Unajua mwanza kuna wapiga kura wengi na SLAA alipata nyingi! nadhani kuna haja ya kuwa makini na kura za urais pia. Inaweza kuwa trick waconcetrate na ubunge ila wachakachue za urais.............
   
Loading...