Elections 2010 Wizi wa waziwazi

Vitus mkumbee

Member
Nov 1, 2010
22
1
Wizi unaonekana ni wa wazi jimbo la ubungo coz kuna jama ameonekana na makaratasi anataka kuondoka nayo tena akitumia gari binafsi
 
nadhani ipo haja ya kushughulikia kwanza familia yake nddiyo ajue hakuna mchezo; hakuna mwenye bakora za karibu na vitoto vyake?
 
Itafikia tuchue sheria mkononi tuwashughulikie mafisadi mpaka yashindwe kukaa kwa raha!
 
Back
Top Bottom