Eti CCM wachukua jimbo la Tarime | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti CCM wachukua jimbo la Tarime

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Manyema, Nov 1, 2010.

 1. M

  Manyema JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 213
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  inasemekana msimamizi wa matokeo amemtangaza mgombea wa CCM kuwa mshindi huko Tarime baada ya kurudia kuhesabu kura.
   
 2. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  CHADEMA na CUF watakuwa wamegawana kura
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kwani zinatofautiana na zile za vituoni?
   
 4. e

  ebrah JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Oyaaa, hiyo kitu haipo sisi sio watoto! wizi hatutaki
  Pls thibitisha tuchukue hatua
   
 5. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,344
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Inasemekana au ni taarifa yenye uhakika mkuu? Maana naona sasa mambo mabaya yanaanza...na hiyo Tarime sijui wananchi watayapokeaje matokeo ya namna hiyo. I just hope matokeo yoyote yatakayotangazwa ni sahihi na kweli
   
 6. s

  shiezo Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa Tarime inawezekana. Kumbukeni Mwera naye alikuwa na wapenzi wake binafsi ambao wamemfuata CUF. Chadema na Cuf watakuwa wamegawana kura...Team Work Spirit is needed
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Dah kweli Nyambali Nyangwine kachukua Tarime-CCM
   
 8. jaxonwaziri

  jaxonwaziri JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Ni kweli, Nyambari Nyangwine (CCM) ameshinda kwa kura zaidi ya 28,000
   
 9. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Wenye akili zetu walishalijuwa hilo mapema!!! Isingewezekana mtu aliyeshinda 2008(Mwera) awe ameshapoteza wafuasi ndan ya muda mfupi!!!!
   
Loading...