Upinzani Uko Juu sana-Kituo Kidogo Mwaswale-Bariadi Mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upinzani Uko Juu sana-Kituo Kidogo Mwaswale-Bariadi Mashariki

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mtanga Tc, Nov 1, 2010.

 1. Mtanga Tc

  Mtanga Tc JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Waheshimiwa wa JF-matokeo ya kituo kidogo cha Sopa-Mwaswale,bariadi ya mashariki ni kama yafuatavyo:
  Urais:Chadema=59 CCM= 7 APP =1
  Ubunge:UDP = 46 CUF = 10 CCM =11
  Udiwani:CHADEMA=54 CCM=8 UDP 5.
  Kituo hiki hakikuwa na wakala toka chama chochote kile na muda punde tu ndio wahusika wamechukuwa kalabrasha kupeleka kituo maalumu jimboni.The whole experience in terms of system was a bit concern to poor me!
  Hata hivyo nawapongeza wote ambao wameonelea vyema to give a chance to Maendeleo ya kweli kwa wote!!!!!!:peep:
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Brd mashariki mbona iko upinzani siku nyingi
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,208
  Likes Received: 414,656
  Trophy Points: 280
  All the time human action requires GOD's direction...................
   
Loading...