Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wameshaanza kuchakachua!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Dr Hope, Nov 1, 2010.

 1. Dr Hope

  Dr Hope Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa kutoka jimbo la Kawe inaonesha haya...
   
 2. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 11,956
  Likes Received: 3,246
  Trophy Points: 280
  :rip::A S angry:
   
 3. P

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 20,948
  Likes Received: 7,263
  Trophy Points: 280
  Kwanza Dr. Hope, karibu, pili haya yapi?.
   
 4. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,311
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Vipi wanachakachua ushindi wa Mdee...!!!!:doh:
   
 5. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  yanaonyesha yapi?kama si umbea kitu gani?
   
 6. B

  Bongokid Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  details... ni nini kinachoendelea? Taarifa za wazi ni kwamba Mdee kidedea... PLEASE give us details - tusije kupanda jazba za bure.
   
 7. C

  Consultant JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 3,165
  Likes Received: 1,067
  Trophy Points: 280
  MOD MKUU...naomba unipe uMOD japo kwa leo tu niwe nafyekelea mbali threads za ajabu ajabu
   
 8. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,125
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  wanachakachua matokeo ya madiwani. Matokeo yaliyokubaliwa jana ni tofauti na yale yaliyopelekwa kwenye majumuisho. Inasemekana kuna baadhi ya sehemu wamefuta. Baada ya mawakala kuyakataa, wamewalazimisha waubali kuhesabu tena. Lakini wananchi wanakataa kurudia kuhesabu kwa kuwa tayari mabox ya kura yalikuwa mikononi mwa hao wezi. Kwa hiyo kuna utata mkubwa sana unaendelea huko
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,873
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Wananchi wazidi kuwakalia kooni hao mafisadi wasiwape upenyo kabisa.
   
 10. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,510
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Jamani wana Kawe msikubali, matokeo rasmi ni yale yaliyohesabiwa na kusainiwa na mawakala jana. Kamwe jambo la kuhesabu upya kataeni.
   
 11. Amigo

  Amigo Senior Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani Kawe Komaeeni wasije wakaleta mazingaombwe.


  QUOTE=Dr Hope;1201903]Taarifa kutoka jimbo la Kawe inaonesha haya...[/QUOTE]
   
 12. m

  miseryman Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 20, 2008
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haki yetu wanataka kuichezea kifalafala. Kawe komaa saa ya ukombozi ni sasa
   
 13. K

  Kituko JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 6,766
  Likes Received: 2,548
  Trophy Points: 280
  we ni wa kiume ama wa kike?, au upo katikati
   
 14. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 811
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Mjini hakuna ****!
   
 15. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,311
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Hivi CCM wanataka nini?
   
 16. M

  Mkorintho JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 348
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wahenga walisema, "Mfa maji haishi ................"
   
Loading...