Synovet na REDET, fanyieni utafiti hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Synovet na REDET, fanyieni utafiti hili

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by QUALITY, Nov 1, 2010.

 1. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  "wataalamu wa utafiti nchini tanzania" Synovet na REDET, fanyieni utafiti hili suala la wananchi waliojiandikisha kutojitokeza kupiga kura. Imeonekena kuwa karibia waliopiga kura nchi nzima ni wachache sana ukilingnisha na wale waliojiandikisha. katika baadhi ya maeneo, idadi ya waliopiga kura ni 30% wakati sehemu nyingine ni 60%. Sababu hasa ni nini? Tunaomba majibu yaje bila kuchakachuliwa.
  Ahsante
   
 2. J

  Jafar JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Utafiti wao hautaaminika na wananchi milele
   
Loading...