SECRET PLOT REVEALED: Kikwete aongoza, Lipumba wa pili, Slaa wa tatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SECRET PLOT REVEALED: Kikwete aongoza, Lipumba wa pili, Slaa wa tatu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fareed, Nov 2, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. F

  Fareed JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Matokeo yaliyotolewa mpaka leo usiku na NEC ni kuwa Kikwete aongoza Urais, Lipumba wa CUF wa pili na Slaa wa tatu!

  Imegundulika kuwa kuna MWAFAKA WA SIRI WA TANZANIA BARA kati ya CCM na CUF. Mwafaka huo baada ya makubaliano ya kuunda serikali ya mseto Zanzibar ni kumtangaza Kikwete mshindi wa Urais akifuatiwa na Lipumba wa CUF na SLAA awe mshindi wa tatu. Lengo kuu ni kuwa kwa SLAA kuwa mshindi wa 3 itakuwa ni "win-win" situation kwa CCM na CUF.

  CCM inamhofu SLAA na CHADEMA kuwa ndiyo kiongozi na chama kinachoweza kuing'oa madarakani. Viongozi wa CUF wana wivu/chuki na CHADEMA kwa kuwa wameona kimechukua nafasi ya CUF kama chama kikuu cha upinzani Tanzania. Hivyo basi, kwa ku distort matokeo ya kura za Urais na kumfanya Lipumba mshindi wa pili inaonekana ni mbinu ya kuimaliza CHADEMA kisiasa.

  Mkakati huo unaendana na NEC kuagizwa kutoa matokeo ya kura za Urais kutoka kwenye mikoa ambayo ni ngome za CCM na CUF kama Zanzibar, mikoa ya kusini Lindi na Mtwara, Morogoro, Tanga, Dodoma, Singida, etc.


  Lengo ni kuwaandaa Watanzania kisaikolojia kuwa tayari Kikwete atashinda Urais na Lipumba atakuwa mshindi wa pili.


  Matokeo kutoka mikoa ambayo SLAA ana nguvu sana na amezoa kura nyingi za Urais kama Dar, kanda ya ziwa, kaskazini na nyanda za juu kusini yamezuiliwa yasitoke. Hii inawapa CCM muda kucheza na matokeo kwenye mikoa hiyo muhimu yenye population ya zaidi ya 8 million people ili hatimaye kuja na matokeo ya mwisho yanayofanana na haya ya sasa hivi kutoka mikoa ya CCM na CUF yenye population ya watu kama 1 million tu.


  Zifuatazo ni source kutoka website ya TBC1 (nimeambatanisha snaposhot ya website) na story ya AFP inayo onesha kuwa SLAA sasa is a "distant third" in the presidential race.


  MPO HAPO?

  AFP: Tanzanian president shows strong lead in poll results

  [​IMG]
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...