Matokeo ya Rais so far: Haya hapa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya Rais so far: Haya hapa!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mr. Zero, Nov 2, 2010.

 1. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Peter

  Peter Mziray: Kura 4275 = 1.45 %;
  Jakaya Kikwete: 186 1877 = 64.2 %;
  Dr. Slaa: 578 636 = 19.95 %
  Prof. Lipumba: 238 259 = 8.22 %
  Mutamwega: 5690 = 0.2 %
  Fahmi: 3435 = 0.12 %
  Zilizoharibika: 163 562 = 5.64 %

  Matokeo ya kura za urais according to Mwananchi: Mwananchi Election Editions
   
 2. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Thanks. Ila hii rate ya kura kuharibika ni kuwa mno. Au kuna tatizo kwenye design ya karatasi ya kupigia kura?
   
 3. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Labda ndiyo uchakachuaji wenyewe huo??
   
 4. jyfranca

  jyfranca JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu kikwete vipi mbona anpata ushindi mdogo sana kama wa Mkapa 1995.
   
 5. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hii si mikoa ambayo kikwete alitegemewa kushinda kwa kishindo?
   
 6. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Majimbo yanayotangazwa ni yale ambayo hata kabla ya uchaguzi tulijua CCM watashinda!! Kunani tume ya uchaguzi?
   
 7. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,723
  Likes Received: 1,213
  Trophy Points: 280
  NEC wametangaza matokeo mengine sasa hivi. Inashangaza hata Nyamagana Mkwere anaongoza dhidi ya Slaa.

  Uchakachuaji mchana kweupe?
   
 8. Isaac

  Isaac JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 627
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Mie nitapata dira wakitaja matokeo ya majimbo ya Kilimanjaro,Arusha,Mbeya,Iringa,Mwanza (sio nyamagana na sengerema) ,Musoma,Manyara (isipokuwa babati),Kigoma,Bukoba na Dar.
   
 9. 2

  2 heads up Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeah, inatisha! elimu itolewa kabla ya uchaguzi ujao (of coz kama uchakachuaji sio sababu!).:A S angry:
   
 10. p

  papichulo Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  imekuaje....mbona slaa anaburuzwa na Jk?
   
Loading...