CONFIRMED: NCCR kidedea Jimbo la Muhambwe


S

siyenda

Member
Joined
Oct 1, 2010
Messages
59
Likes
0
Points
13
S

siyenda

Member
Joined Oct 1, 2010
59 0 13
nccr mageuzi hatimaye watanganzwa washindi na nec wilayani kibondo saa 10 alfajiri hili ni jimbo la muhambwe.
 
Yo Yo

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Messages
11,246
Likes
100
Points
0
Age
37
Yo Yo

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined May 31, 2008
11,246 100 0
Why saa 10 alfajiri, waache longolongo....Unajua hawa nec ndo wanataka balaa. Why kutangaza alfaji, au mchana na asubihi vimekwisha?
 
Mu-sir

Mu-sir

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
3,634
Likes
481
Points
180
Mu-sir

Mu-sir

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
3,634 481 180
Tupe data mkuu
 
nsimba

nsimba

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2010
Messages
785
Likes
0
Points
33
nsimba

nsimba

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2010
785 0 33
mshindi na mshinda kura ngapi?
 
Oluoch

Oluoch

Senior Member
Joined
Aug 30, 2010
Messages
134
Likes
0
Points
33
Oluoch

Oluoch

Senior Member
Joined Aug 30, 2010
134 0 33
CCM watajiju mwaka huu!
 
M

Mkorintho

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Messages
357
Likes
8
Points
35
M

Mkorintho

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2009
357 8 35
Muhambwe c ndo kwa Ntagazwa huko, ama? Kwa hakika wana wa Kigoma wamenikosha sana kwa spirit yao. Viva Mapinduzi. Aluta Continua
 
M

Mtemakuni

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2010
Messages
257
Likes
3
Points
35
M

Mtemakuni

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2010
257 3 35
Tupe figurez kiongozi......! thanx though kwa informatn
 
A

Aine

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
1,607
Likes
10
Points
0
A

Aine

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
1,607 10 0
Mjimbo mengine ya Kigoma vipi huko?
 
E

Epifania

Senior Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
133
Likes
0
Points
0
E

Epifania

Senior Member
Joined Oct 18, 2010
133 0 0
Maskini. Bora kisiishie kabisa. :tape: Cha muhimu ni upinzani
 
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Messages
7,342
Likes
9,511
Points
280
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2008
7,342 9,511 280
Muhambwe c ndo kwa Ntagazwa huko, ama? Kwa hakika wana wa Kigoma wamenikosha sana kwa spirit yao. Viva Mapinduzi. Aluta Continua
Kwa NTAGAZWA yes. Ntagazwa alihamia CHADEMA baada ya CCM kumtosa. CCM walisimika jamaa anayedaiwa ni jambazi. So, CHADEMA na CCM while wanagawan kura, kijana wa NCCR akaibuka kidedea
 
N

Nanu

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Messages
1,224
Likes
9
Points
135
N

Nanu

JF-Expert Member
Joined May 29, 2009
1,224 9 135
If that is confiremed results, then I feel so cool inside. Message is being sent to CCM and the ruin of the Monarch is coming to an end!!!!
 
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Messages
7,342
Likes
9,511
Points
280
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2008
7,342 9,511 280
Mjimbo mengine ya Kigoma vipi huko?
Kigoma nzima ilikuwa na majimbo 6 - MATANO yameenda kwa upinzani na moja limeenda kwa CCM - kiwiziwizi
 
bfsam2000

bfsam2000

Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
20
Likes
6
Points
5
bfsam2000

bfsam2000

Member
Joined Nov 2, 2010
20 6 5
Source-ITV news bullettin bar
felix mkosa(NCCR)-25391,
Jamal Tamim (CCM) -15,141
 
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
9,402
Likes
487
Points
180
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
9,402 487 180
Upinzani wakifika mia itakuwa njema sana
 
Mahesabu

Mahesabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2008
Messages
5,222
Likes
791
Points
280
Mahesabu

Mahesabu

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2008
5,222 791 280
ni jimbo lililokuwa ngome ya CCM......WAO WAKACHAGUA MTUHUMIWA MKUU WA UJAMBAZI....MDINI......Watu wakamwaga........NI KOSA AMBALO CCM IMEFANYA SEHEMU NYINGI....UTEKAJI WA MAGARI...VIUNGO VYA ALBINO ANAJULIKANA WAZIWAZI....NI NDUGU NA MCHAMBUZI MAARUFU WA SOKA DR.LIKI
 
Bob_Dash

Bob_Dash

Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
91
Likes
4
Points
0
Bob_Dash

Bob_Dash

Member
Joined Nov 1, 2010
91 4 0
Saafi saana, Kigoma kweli SAA YA UKOMBOZI NI SASA!!!!!!!!!!!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,251,162
Members 481,585
Posts 29,760,050