Elections 2010 Ngeleja vipi huko Sengerema?

Mdanganywa

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
620
342
Wakuu,

Naona wote tumeondoa kabisa macho na masikio kwa William Ngeleja kule Sengerema, na hii inampa nafasi ya kuchakachua anavyotaka.

Yeyote mwenye news za huko please. Maana za kutoka huko siwezi kuita ni update.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom