Elections 2010 Mponda ashinda Ulanga Magharibi

Mzalendo Mkuu

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
735
191
Taarifa toka Ulanga Magharibi zinasema Mponda amepata 18,0000 na Prof Mlambiti amepata 15,000. Kwa wale vijana sana Urafiki Jazz Band ilikuwa inatumia mtindo wa Chakachua Ngoma!
 
Hizi FEKI kwa kweli itabidi Mods wawe na kazi kubwa sana baada ya uchaguzi.
 
Taarifa toka Ulanga Magharibi zinasema Mponda amepata 18,0000 na Prof Mlambiti amepata 15,000. Kwa wale vijana sana Urafiki Jazz Band ilikuwa inatumia mtindo wa Chakachua Ngoma!

Biashara Jazz Band...na Juma Mrisho ''Ngulimba Wa Ngulimba'' whatever that means...USIMKWAE MTU LIKWAE CHUA
 
NACHUKIA CCM TO THE GRAVE,napenda kuwasikitikia waliomchagua yule MTALII jike(jk), 4 anada 5 painful yrs. too sad:nono:
 
NACHUKIA CCM TO THE GRAVE,napenda kuwasikitikia waliomchagua yule MTALII jike(jk), 4 anada 5 painful yrs. too sad:nono:

Yaani kwa mtazamo wangu biandamu anayepigia kura CCM for another 5 years ni mvivu na masikini wa fikra! :boink::sorry::bump2:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom