Pamoja na CCM kuchakachua matokeo, sheria hii kuitesa Chadema.......


Rutashubanyuma

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
169,611
Likes
705,438
Points
280
Rutashubanyuma

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
169,611 705,438 280
Majimbo mengi ambayo CCM imeishinda Chadema tofauti ya kura ni ndogo lakini tofauti ya uwakilishi bungeni itakuwa kubwa kwa sababu viti maalumu vinagawiwa kwa kuzingatia idadi ya wabunge Bungeni badala ya idadi ya kura kila Chama ilizozipata....

Hii ni shubiri nyingine ambayo itajitokeza bungeni mara litakapozinduliwa...........kati ya kazi ya wabunge wa upinzani wanazopaswa kuzifanya ni kuandaa muswada wa kuibadilisha sheria hiyo ili kura za wapigakura ndizo zitumike kugawa nafasi za viti maalumu ili kuongeza hamasa ya wapigakura kushiriki kuchagua viongozi wao........

Utaratibu uliopo unazuia wapigakura wasiweze sauti yao kusikika bungeni kwa vyama ambavyo havikushinda moja kwa moja jimbo...........huu ni uonezi na unatia dosari demokrasia yetu................
 
Speaker

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Messages
6,356
Likes
28
Points
135
Speaker

Speaker

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2010
6,356 28 135
mmmmmmh,nahisi watafanyia kazi wazo lako,ni zuri for sure ila binafsi sitaki viti maalumu na vya kuteuliwa sioni maana yake
 

Forum statistics

Threads 1,252,117
Members 481,989
Posts 29,796,011