Elections 2010 Kwa matokeo haya

BWAXY

Member
Sep 1, 2010
31
0
Wadau,

Kwa hali hii, natamani vikao vya Bunge vianze kesho!!!! Hili ndilo Bunge la mseto wa ukweli. … mweee.. Vijana, Wakulima, Wachungaji, Wanawake, Wafanyibiashara, Wazee, Wanaume, Wanamuziki, Wanataaluma, Mafisadi, Waganga wa kienyeji, Waadilifu... yaani ni fulu mixi. Asalaaale!

CCM inaongoza ila chakachakachu………………………………….

Rose and Anna, Bongo vituko.


1 Ubunge Tanga - Omar Noor Rashid/CCM CCM
2 Ubunge Busanda - Bi. Lawrencia Bukwimba/CCM CCM
3 Ubunge Geita - MacDonald/CCM CCM
4 Ubunge Nyang'wale - Hussein Nassoro/CCM CCM
5 Ubunge Ruangwa - Kassim Majaliwa/CCM CCM
6 Ubunge Lulindi - Jerome Bwanaus/CCM CCM
7 Ubunge Serengeti - Kebwe Stephen Kebwe/CCM CCM
8 Ubunge Mwibara - Alfax Lugora/CCM CCM
9 Ubunge Masasi - Mariam Kasembe/CCM CCM
10 Ubunge Makete - Dk. Binilith Mahende/CCM CCM
11 Ubunge Manyoni - John Chiligati/CCM CCM
12 Ubunge Bunda - Stephen Wassira/CCM CCM
13 Ubunge Morogoro Kusini Mashariki - Lucy Nkya/CCM CCM
14 Ubunge Bukoba Mjini - Khamis Kagasheki/CCM CCM
15 Ubunge Njombe Kaskazini - Deo Sanga/CCM CCM
16 Ubunge Njombe Magharibi - Grayson Lwenge/CCM CCM
17 Ubunge Morogoro Kusini - Innocent Karogoresi /CCM CCM
18 Ubunge Nyang'wale - Hussein Amary/CCM CCM
19 Ubunge Urambo Mashariki - Samwel Sitta/CCM CCM
20 Ubunge Kyela - Harrison Mwakyembe/CCM CCM
21 Ubunge Morogoro Mjini - Aziz Abood/CCM CCM
22 Ubunge Manyoni Mashariki - Lwanji/CCM CCM
23 Ubunge Mkinga - CCM CCM
24 Ubunge Kilosa - Mustapha Mkullo/CCM CCM
25 Ubunge Namtumbo - Vita Kawawa/CCM CCM
26 Ubunge Longido - Michael Lekule Laizer/CCM CCM
27 Ubunge Kibaha - CCM CCM
28 Ubunge Kisarawe - CCM CCM
29 Ubunge Sumbawanga Mjini - CCM CCM
30 Ubunge Moshi Vijijini - Cyril Chami/CCM CCM
31 Ubunge Mtwara Mjini - Murji Hasinen Mohamed/CCM CCM
32 Ubunge Tabora Mjini - Ismal Aden Rage/CCM CCM
33 Ubunge Arumeru Mashariki - Jeremia Sumari/CCM CCM
34 Ubunge Mwanga - Jumanne Maghembe/CCM CCM
35 Ubunge Siha (Kilimanjaro) - Aggrey Mwanri/CCM CCM
36 Ubunge Chato - John Magufuli/CCM CCM
37 Ubunge Songea - Dk. Emmanuel Nchimbi/CCM CCM
38 Ubunge Bukoba Vijijini - Jasson Rweikiza/CCM CCM
39 Ubunge Mvomero - Amos Makalla/CCM CCM
40 Ubunge Kigoma Mjini - Peter Serukamba/CCM CCM
41 Ubunge Tarime - Nyambari Nyangweni/CCM CCM
42 Ubunge Babati Mjini - Chambiri Werema/CCM CCM
43 Ubunge Singida Mjini - Mohamed Dewji/CCM CCM
44 Ubunge Peramiho - Jenista Mhagama/CCM CCM
45 Ubunge Mpwapwa - George Tau/CCM CCM
46 Ubunge Mbarali - Dickson Kiruvi/CCM CCM
47 Ubunge Korogwe - Yusuf Nassir/CCM CCM
48 Ubunge Kongwa - John Ndugai/CCM CCM
49 Ubunge Mtwara Vijijini - Hawa Ghasia/CCM CCM
50 Ubunge Tandahimba - Juma Njwayo/CCM CCM
51 Ubunge Kibakwe - CCM CCM
52 Ubunge Urambo Magharibi - Prof. Juma Kapuya/CCM CCM
53 Ubunge Bumbuli - January Makamba/CCM CCM
54 Ubunge Rorya - Lameck Airo/CCM CCM
55 Ubunge Sumbawanga Mjini - Aeshi Khalfan Hilal/CCM CCM
56 Ubunge Manyovu (zamani likijulikana kwa jina la Kasulu Magharibi) - Albert F. Ntaliba/CCM CCM
57 Ubunge Kwimba - Mansour/CCM CCM
58 Ubunge Mbozi - CHADEMA CHADEMA
59 Ubunge Ukerewe - Salvatory Naluyaga/CHADEMA (mshindani wa karibu Gertrude Mongella) CHADEMA
60 Ubunge Arumeru Magharibi - Ole Sambu/CHADEMA CHADEMA
61 Ubunge Ukerewe - Salvatory Naluyege/CHADEMA CHADEMA
62 Ubunge Mbeya Mjini - Joseph Mbilinyi (Mr. II aka Sugu)/CHADEMA CHADEMA
63 Ubunge Moshi Mjini - Philemon Ndesamburo Kiwelu/CHADEMA CHADEMA
64 Ubunge Biharamulo Magharibi - Dk Antony Mbasa/CHADEMA CHADEMA
65 Ubunge Rombo - Julius Selasini/CHADEMA (mshindani wa karibu Basil Mramba/CCM) CHADEMA
66 Ubunge Nyamagana - Hezekiah Wenje/CHADEMA (mshindani wa karibu Lawrence Masha/CCM) CHADEMA
67 Ubunge Iringa Mjini - Mchungaji Peter Msigwa/CHADEMA (mshindani wa karibu Monica Mbega/CCM) CHADEMA
68 Ubunge Hai - Freeman Mbowe/CHADEMA CHADEMA
69 Ubunge Musoma Mjini - Vincent Nyerere/CHADEMA CHADEMA
70 Ubunge Arusha Mjini - Godbless Lema/CHADEMA (mpinzani wa karibu Batilda Burian/CCM) CHADEMA
71 Ubunge Kigoma Kaskazini - Zitto Kabwe/CHADEMA CHADEMA
72 Ubunge Ilemela - Hayness Samson/CHADEMA (mshindani wa karibu Anthony Diallo/CCM) CHADEMA
73 Ubunge Maswa Magharibi - John Shibuda/CHADEMA CHADEMA
74 Ubunge Meatu - Meshack Opulukwa/CHADEMA CHADEMA
75 Ubunge Maswa Mashariki - Sylvester Kasulimbayi Mhoja/CHADEMA CHADEMA
76 Ubunge Ubungo - John Mnyika/CHADEMA CHADEMA
77 Ubunge Mbulu - Mustapha Quorro Akonay/CHADEMA (mshindani wa karibu Philip Marmo) CHADEMA
78 Ubunge Karatu - Israel Yohana/CHADEMA CHADEMA
79 Ubunge Masasi - CUF CUF
80 Ubunge Lindi - Salum Barwani/CUF (mshindani wa karibu Mohammed Abdulaziz/CCM) CUF
81 Ubunge Kibondo - NCCR-Mageuzi NCCR
82 Ubunge Kasulu Vijijini - Zaituni Buyogela/NCCR-Mageuzi (mshindani wa karibu Daniel Nsanzugwako). NCCR
83 Ubunge Kasulu Mjini - Machali Moses/NCCR Mageuzi NCCR
84 Ubunge Vunjo (Kilimanjaro) - Augustine Lyatonga Mrema/TLP TLP
85 Ubunge Dodoma Mjini - David Malole Not confirmed
 
Sasa mbona tumeshafikisha hao 51 aliosema Kinana tukiweka na Zanzibar lakini bado Segerea, Kawe na kwingine. Je ina maana Kawe na Segerea hatupati? au ndo Kinana alikuwa anaropoka tu kama kawaida yao?
 
Bado usilete haraka hapa! Tutawashika tu, sisi hatulali wao wapoteze muda na sehemu zao, twawasubiri!!!
 
Back
Top Bottom