Wana JF katika historia ya Haile Selasie, aliwahi kufanya ziara ulaya na asia akiwa na watu wake mashuhuri (nobles) huku akiwa na kundi la simba(pride of lions). Mbali na simba hao pia alikuwa na...
Nadhani mliangalia mdahalo wa jana na mliona kwa kiasi gani HR alivyodhihirisha wazi kuwa anahitaji bado kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani. Mlimuona anavyoongea kwa jazba yeye rafu aliziona za...
MCT kuchunguza tishio la Serikali kwa Mwananchi Send to a friend Saturday, 27 November 2010 08:04 0diggsdigg
Salim Said na Jackline Lema
BARAZA la Habari Tanzania (MCT), limeunda Kamati Maalumu...
Nimefurahi na kujivunia pale mlipo ridhiana kati ya c.u.f na c.c.m zanzibari kwa kuwa na serikali ya umoja sasa basi wakati umefika nyie wanzanzibari muunde chama chenu kimoja na muindeleze...
Gazeti la Habari leo linatufahamisha ya kuwa Mheshimiwa Waziri wa nchi Ofisi ya Raisi Bw. Wassira sasa haoni kuna mpasuko wa kidini ila kuna vijinyufa kwenye nyumba yetu na nyufa hizo haziwezi...
"In defining of the lecture nowdays it seems as the parliement has take the judicial so as it do interpretate the law as it was done in private candidate case. By doing so, we need not to have...
Hivi kile kiapo wabunge wateule wanachofanya bungeni mbele ya spika si kina maana baada ya hapo wanakuwa wabunge kamili na si wateule tena ili waweze kikatiba kufanya kazi zao.
SASA inakuwaje...
Warizi mkuu wa zamani wa tanzania hayati Rashid Kawawa alimfunika kwa mbali jakaya Kikwete wakati wawili hao wakitunukiwa PhD za heshima katika mahafali ya kwanza ya chuo kikuu cha Dodoma. Hayo...
Jamani Nimepata hii habari kuhusu ZAIN kununuliwa na AIRTEL na Serikali Yetu Bado ina Ubavu wa kuchunga rasilimali zetu pamoja na UFISADI tafadhali soma hiyo habari na nimehighlight information...
Dear friends,
Have you noticed this? Baraza la Mawaziri linaapishwa Ikulu,even as I write this. Cabinet inaapishwa Ikulu at this very moment that I am writing this,lakini,so far,ni TBC1 peke...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina mpango wa kukata kiu ya waliomisi uwepo wa Dk. Willibrod Slaa bungeni kwa kumuingiza kwenye uchaguzi mdogo utakaofanyika wakati wowote...
Katika kampeni nzima Chama cha Mapinduzi hakikuahidi mabadiliko yoyote makubwa aidha ya mfumo wa kisiasa, miundombinu ya utendaji au hata mabadiliko ya kuona haja ya kufanya mageuzi makubwa ya...
Wakuu,
Kwa wale ambao wanaishi nje ya nchi watakubaliana nami kuwa kumekuwa na utitiri wa matawi ya CCM ambayo mengine si matawi bali ni vijikundi. Tena matawi haya yamekuwa na access kubwa...
Wananchi Tunaoangalia na Kusoma Utaratibu wa Uongozi Inchi Zingine Tunaona Inchi Kama ya Tanzania Kuwa na Idadi Kubwa ya Baraza la Mawaziri na Manaibu ni Moja ya Uongozi Mbaya Tanzania. Hii Pia...
Naripoti nikiwa maeneo ya tabata Kimanga, Eneo lote hili umeme umekatika mida ya saa nne kasoro kama dakika 15 (2145hrs)
Nahisi ndo mpango wa kuchakachua kura za Segerea
Chama cha Mapinduzi kinapojaribu kuiua Chadema bila mafanikio.Tuone sasa
:yield:
CCM vs Chadema
CCM ILIVYOWEZA WAMEZA SSR-MANUNUZI,TELOPII NA KAFU JE ITAWAWEZA CDM??
Hivi hawa watu wa kujipendekeza kwa viongozi sijui tunawapata wapi? Hivi Prof Mukandala anashindwa kuheshimu elimu yake aliyonayo KULIKO aliyonayo MWANSIASA PINDA? Kwani kupeleka ujumbe kwa njia...
Mnafikiri ni kwa haraka kiasi gani watawala wetu watajaribu kutatua tatizo la umeme na maji endapo majenereta na matanki ya maji yatapigwa marufuku mijini? I bet you very soon...wouldn't you agree?
Nasikita sana ninaposikia citizen wakii blame Tanesco kwa mgao wa dharura uliotangazwa hivi karibuni. Mimi na suggest tuangalie kwa undani matatizo yanayolikabili shirika hili. wana vyanzo vile...
Wakuu,
Hao jamaa wawili inawezekana ilikuwa ni chachu ya 'ushindi wa kiaina' wa jk kwenye kinyang'anyilo cha urais. Mmoja alikuwa ndiye m/kiti na mratibu wa kampeni za jk na mwingine alihusika...