kachumbari
Senior Member
- Nov 1, 2010
- 126
- 9
Nimefurahi na kujivunia pale mlipo ridhiana kati ya c.u.f na c.c.m zanzibari kwa kuwa na serikali ya umoja sasa basi wakati umefika nyie wanzanzibari muunde chama chenu kimoja na muindeleze znz.muachane na wahafidhina wa zanzibara.