Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
Wakuu,
Hao jamaa wawili inawezekana ilikuwa ni chachu ya 'ushindi wa kiaina' wa jk kwenye kinyang'anyilo cha urais. Mmoja alikuwa ndiye m/kiti na mratibu wa kampeni za jk na mwingine alihusika kwenye kampeni kwa kuielezea na kuifafanua ilani ya uchaguzi ya ccm. Inasemekana ni mmojawapo wa wataalam walioshiriki kuiandaa hiyo ilani. Ninachojiuliza ni je hao jamaa ndiyo wameishia hapo???? Tangu matokeo ya uchakachuaji yatoke sijawasikia tena hata kwenye halfa mbalimbali za kujipongeza kufanikisha uchakachuaji siwaoni na nimehudhuria takriban zote. Kulikoni? Au sasa wanakula 'kuku kwa mrija' kimyakimya, au wametupwa nje kama gunia la deki baada ya kumaliza usafi wa ndani, au wanasubiri vyeo vingine ndani ya serikali na chama??? Nasikia mmojawapo ni m/kiti wa bodi ya magazeti ya serikali.