Roho inauma sana kwa kweli. Hivi CCM kuna watu wenye dhamila na kumuogopa Mungu. Kama kuna mtu ambaye anasema ameokoka na anasupport CCM, ajue anajidanganya na anasupport wizi, Mungu hapendi.
wana CCM mtueleze tangu jana maeneo mengi ya dar hakuna umeme,jee hayo ndiyo mazingira ya kutoa ajira 1M?nathubutu kusema yeyote aliyeipa kura CCM HANA AKILI TIMAMU!!!
Jibu jepesi na rahisi.... wanakata umeme ili waendelee kuchakachua na wananchi msiangalie TV na kusikiliza Radio kupata matokeo ya kura za awali.................. UCHAKACHUAJI huoo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.