Wananchi Tunaoangalia na Kusoma Utaratibu wa Uongozi Inchi Zingine Tunaona Inchi Kama ya Tanzania Kuwa na Idadi Kubwa ya Baraza la Mawaziri na Manaibu ni Moja ya Uongozi Mbaya Tanzania. Hii Pia Inaonyesha Kweli CCM Hawajui Kusoma Matokeo ya Uchaguzi 2010. Wananchi Wamepiga Kura kwa Wingi Kutaka Inchi Ibadilike na Mwenendo Wake na Wengi Tunajua JK Kupitia Makame Wameona Matokeo ya Kweli. Inchi Haina Fedha na Tunategemea Wafadhiri, IMF na World Bank Kwanini Unakuwa na Wasimamizi Wengi Hivi? Wananchi Wengi Tunaofualia Maswala ya Global Recession, Tunaona Kila Inchi Kutoka EU, Asia na America Wanakata Government Spending in a Very Big Way. Inchi Kama Tanzania Yenyewe Inazidi Kugrow Everyday. Kwanini Waziri Mmoja Hawezi Kusimamia Departments Zaidi ya Tatu? Inamaasha They can't be Multi Tasks? Hizi Wizara Zilizotangazwa Tunaona Kuna Manaibu Wake, Wakufanya Kazi Gani? Hii ni Aibu kwa Inchi JK na CCM Wanatumia Hizi Posts za Kuteua Mawaziri na Manaibu ili Kuwaweka Wafanya Deals na Kulinda Wizi wa Pesa. Mimi Binafsi Nachangia Haya Sio Kwa Sababu CCM Ipo Madarakani kwa Nguvu Ila Hata Chadema Ikijafanyia Wananchi Namna Hii, Sitakaa Kimya Kamwe.
"Solution ya Hizi Issue za JK na Uraisi ni Katiba Mpya Ambayo Itaondoa na Kupunguza Madaraka kwa Raisi na Kuipa Bunge Nafasi ya Kupitisha Majina na Kuteua Viongozi Wasio Wakisiasa Kusimamia Serikali Yetu"
"Solution ya Hizi Issue za JK na Uraisi ni Katiba Mpya Ambayo Itaondoa na Kupunguza Madaraka kwa Raisi na Kuipa Bunge Nafasi ya Kupitisha Majina na Kuteua Viongozi Wasio Wakisiasa Kusimamia Serikali Yetu"