RayB
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 2,751
- 196
Wakuu,
Kwa wale ambao wanaishi nje ya nchi watakubaliana nami kuwa kumekuwa na utitiri wa matawi ya CCM ambayo mengine si matawi bali ni vijikundi. Tena matawi haya yamekuwa na access kubwa sana na balozi zetu as if Ubalozi ni wa CCM.
Ningependa mwongozo kutoka kwa viongozi wa chadema ni jinsi gani ya kuanzisha tawi na natakiwa kufata mlolongo gani? Ningependa sana niwe pioneer katika hii movement. Manake imekuwa sasa kama unataka mambo yako yashine basi uwe na link ya CCM na wakati mwengine CCM inakuwa na influence kubwa hata kwenye vyama vya kitanzania katika nchi hizi.
Wahusika wakiniPM na kunipa maelekezo itakuwa safi sana.
Nawasilisha kwani naamini members wako wengi sana