Mbowe: Rais Kikwete anatekeleza hoja za maandamano yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe: Rais Kikwete anatekeleza hoja za maandamano yetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mshume Kiyate, Mar 30, 2011.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hivi karibuni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kilifanya maandamano katika mikoa ya kanda ya Ziwa yaliyohudhuriwa na watu wengi.
  Hata hivyo maandamano yalipokelewa kwa hisia tofauti na serikali ambayo iliyatafsiri kuwa ni hatua ya Chadema kutaka kuleta vurugu nchini. Rais Kikwete alionyesha kukerwa na maandamo hayo akisema Chadema kinawajengea hofu wananchi. Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amesikitishwa na kauli za viongozi wa serikali kuwa Chadema wanataka kuiondoa serikali madarakani, wapi sisi Chadema tuliwataka wananchi waing'oe serikali? lengo letu ni kuiwajibisha serikali siku tisa walizotoa Chadema kutekeleza maazimio yao ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa hali ya ugumu wa maisha inaondoka. baada ya siku tisa kupita Rais Kikwete ameanza kutekeleza hoja zao. "Ndani ya siku tisa, Rais Kikwete aliagiza bei ya sukari ishuke kutoka sh 2000 hadi sh 1700 hakuishia hapo, aliagiza pia bei hiyo ishuke kutoka sh 1700 hadi sh 1500. " Rais ameanzisha ziara kwenye wizara, akaagiza pia gharama za kuunganisha umeme zipunguzwe hayo yote ni kutekeleza hoja za maandamano yetu.
  Source: Mwananchi Machi 30, 2011
   
 2. S

  SUWI JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  :yield::yield::yield::yield:
   
 3. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Dah!!! Huyu JK ndiye hasa rais tunaemuhitaji. Nadhani hata Mbowe kamkubali kwani ni Rais msikivu. Anafanyia kazi mambo yote mazuri anayoambiwa na wananchi wake. Mfano ktk maandamano ya CDM wameongelea suala la kupanda kwa bei ya vyakula na baada ya rais kusikia akaamua kulivalia njuga. Hatutaki rais ambaye haambiliki wala kushaurika.
  Safi sana Mbowe, kauli yako inaonesha jinsi gani JK ni rais wa watu na habagui hoja za wapinzani wake.

  VIVA JK, LONG LIVE CCM
   
 4. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Kama kumbukumbu zangu haziko sawa mnikosoe, Katika kampeni zake za kuwania urais 2010 alishawahi kusema Chadema ni chama cha msimu, swali langu kubwa INAKUWAJE ANAOGOPA CHAMA CHA MSIMU???????
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Chatu Dume vipi Makamba kakunyima ruzuku? mbona siku hizi unaleta thread za kuwaudhi CCM wenzako?
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  chadema ni chama makini. viongozi wake siyo watu wa kuropoka ropoka ili wapigiwe makofi. lazima jk kilimuuma, hasa ile ishu ya watu wa mwanza kutaka kutembea kwa miguu kuja magogoni kuleta 'za uarabuni'.

  lakini kwa hekima za viongozi wetu wa chadema zilitumika. vijana walitulizwa wakasikia.

  mpaka kieleweke.
   
 7. N

  Ntandalilo Member

  #7
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwi kwi kwi..................!!! muache akaribie kwenye kundi la ushindi unafikiri yeye hajui kuwa yuko kwenye kundi la kukosa mkuu?
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu kweli jk msikivu sasa mbona hayatekelezwi! au YEYE HASIKILIZWI NA WATENDAJI WAKE!?
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Rev Masanilo mbona unaangaika unatafuta Controvery, nenda kapate vikombe viwili kimoja cha Loliondo kingine cha Tabora ban imekufanya uwe Insanity, msalimie Max nsimba
   
 10. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHADEMA wamejipanga, wako makini kuliko umakini wenyewe, safi sana!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 11. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Rev Masanilo mbona unaangaika unatafuta Controvery, nenda kapate vikombe viwili kimoja cha Loliondo kingine cha Tabora ban imekufanya uwe Insanity, msalimie Max nsimba
   
 12. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mkuu unahitaji rais asiyeongoza nchi? Hii ni ajabu sana. It is true usikivu ni sehemu mojawapo ya sifa ya kiongozi ila kiongozi. hata hivyo kwa ngazi kama ya Rais au any senior position; ni lazima awe strategic. Kwa hali ilivyo CDM ndio wako strategic halafu yeye anafanya photocopy. Nani anaongoza nchi hapo?
   
 13. Sn2139

  Sn2139 JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 827
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Chatu bwana!! umenchekesha sna wakati nilikuwa sina raha sana leo... shukran
   
 14. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  HAPO ,ndo utata,jamaa anatalii tu,JK anakumbuka kuwa amewai kuzitembele wizara hizo miaka 5 hiliyopita.Je AMEWAULIZA MIAKA MITANO ILIYOPITA WAMEFANYA NINI.?Sasa na hizi ni kama utalii
   
 15. nyengo

  nyengo JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 433
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mbona hajavalia njuga maswala ya dowans,epa,mfumuko wa bei maisha duni ya watanzania, katiba etc? Swala la sukari si cha mtoto!!
   
Loading...