Cdm tuchangamkie fursa ya babu loliondo

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Nashangaa ninapoona wagonjwa wakinywa dawa ya babu kwa vikombe vya kijani! Hivi CDM tumeshindwa kutengeneza vikombe vyenye nembo yetu na rangi ya chama chetu na kuvipeleka kwa Babu kama msaada lakini vikiwa pia na kazi ya kutangaza chama chetu? Hatuoni kuwa pale kuna wagonjw awa nchi mbalimbali hivyo ni fursa nzuri ya kujitangaza? Dk Slaa nadhani wewe ni member humu naomba ufafanuzi wa hili. Nawasilisha
 
chadema kujiingiza kweney suala lababu ni kujimaliza kisiasa waache CCM wajimalize weneywe kidogo kidogo
 
hao wanasiasa wenu ndio wanaoongoza kwa kwenda kupiga kikombe loliondo!!!
imesemwa...."kwa sasa imebainika dawa ni salama kwa matumizi... ila haijathibitishwa kama inatibu!"
Akili mkichwa
 
Nashangaa ninapoona wagonjwa wakinywa dawa ya babu kwa vikombe vya kijani! Hivi CDM tumeshindwa kutengeneza vikombe vyenye nembo yetu na rangi ya chama chetu na kuvipeleka kwa Babu kama msaada lakini vikiwa pia na kazi ya kutangaza chama chetu? Hatuoni kuwa pale kuna wagonjw awa nchi mbalimbali hivyo ni fursa nzuri ya kujitangaza? Dk Slaa nadhani wewe ni member humu naomba ufafanuzi wa hili. Nawasilisha
I think this is gonna be unimaginably too childish!
 
Yaani kila kundi likiamua ku'take advantage kwa kupitia dawa ya babu sijui itakuwaje?
 
Ni kupoteza muda wetu tu kuchangia thread za kitoto kama hizi, peleka facebook huenda mkaelewana huko ndiko kuna watoto wengi.
 
Back
Top Bottom