Madiwani wa CHADEMA Arusha wasusa ziara ya makamu wa rais

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
482
131
Madiwani wa chadema arusha,wamekataa kuhudhuria ziara ya makamu wa rais Arusha,hii ni katika kutilia mkazo madai ya kurudiwa kwa uchaguzi wa eya
 
swafi sana! Huyo M'kamu wa rais amekosa kz km Rais wake, sa ameamua kznguka nchi nzma kwa lengo gn hasa? Aende zke huko hna jpya!
 
Kuzunguka nchini bila kutatua matatizo yanayowakabili watz ni kuendelea kutumia mali za umma vibaya
 
Drop of water in the sea. wasiende hata milele, na nadhani anayejua kuwa walisusia ni wewe tu, au huenda ukawa ndo wewe mwenyewe diwani uliyesusia. We do not care about you.
 
Drop of water in the sea. wasiende hata milele, na nadhani anayejua kuwa walisusia ni wewe tu, au huenda ukawa ndo wewe mwenyewe diwani uliyesusia. We do not care about you.
Talk on your own hehalf bana...you coward!
Since when did you stop caring about us:lol:??
You must be joking...CDM wakikohoa tu kuanzia RAHISI wenu, Mawaziri na watu wa dizaini yako wote mnabweka kama mbwa-koko!
We are sure that you do miss a nap in our presence!..Poleni!
 
nimekugongea thanx ya nguvu. Mpk dkk hz hawalal, hawal wakashba, hawaog wakatakata yote ni kwa sbb ya wa2 wazma CDM!
Talk on your own hehalf bana...you coward!
Since when did you stop caring about us:lol:??
You must be joking...CDM wakikohoa tu kuanzia RAHISI wenu, Mawaziri na watu wa dizaini yako wote mnabweka kama mbwa-koko!
We are sure that you do miss a nap in our presence!..Poleni!
 
Uamuzi mzuri. CDM msikubali kushirikiana na mafisadi !! Endeleeni kuchapa kazi na tupeane "rendez-vous" 2015 kuichukua nchi ! Go, go CDM gooooooooooooooo
 
Hwana jipya hao, kazi alizokuwa anafanya ikiwemo kuzindua miradi hamzioni! Viongozi hawawezi kukaa Dar na kusahau kutembelea wananchi waliowachagua. Chadema hii tabia yao sidhani kama itawasaidia sana maana huwezi kususa kwa mtu mnayetakiw akujadiliana naye na kisha mkapata ufumbuzi. Lakini pia kama hawataki Mary Chitanda na wao wakumbuke wamechakachua Hai, so kazi iko kwao wote.
 
swafi sana! Huyo M'kamu wa rais amekosa kz km Rais wake, sa ameamua kznguka nchi nzma kwa lengo gn hasa? Aende zke huko hna jpya!

Akizunguka Slaa na maandamano ya CDM safi ila viongozi ambao wamechaguliwa hata kama sikuwapa kura nongwa? watajuaje kero zetu na watatoaje majibu ya kama kero hizo zimefanyiwa kazi?
 
Madiwani wa chadema arusha,wamekataa kuhudhuria ziara ya makamu wa rais Arusha,hii ni katika kutilia mkazo madai ya kurudiwa kwa uchaguzi wa eya
hapo kwenye red tuu, ndo panaonyesha we ni mtu wa daraja gani!!yani CDM kuanzia padri wao Slaa hadi wafuasi hovyo kabisa,hakuna umakini katika uandishi hadi utamkaji! sijui ulikuwa unamaanisha nini?
 
Madiwani wa chadema arusha,wamekataa kuhudhuria ziara ya makamu wa rais Arusha,hii ni katika kutilia mkazo madai ya kurudiwa kwa uchaguzi wa eya

Hawa madiwani ni wehu,wataendelea kucheza cenema mpaka dk 90 zitaisha serikali ipo na inachapa kazi.
 
Huyo jamaa hana huwezo wa kuwa Mk
Kazi inayo mfaa ni kuwa mgeni rasmi gradu za chekechea nk
so kwa sasa hakuna gradu, htafanya nini?
 
Huyo jamaa hana huwezo wa kuwa Mk
Kazi inayo mfaa ni kuwa mgeni rasmi gradu za chekechea nk
so kwa sasa hakuna gradu, htafanya nini?

Wivu na kutotambua unazungumza nini? Tukikuomba CV yako hapa unaweza kumuomba MOD akupe BAN ya nguvu kwa kukimbia aibu
 
Back
Top Bottom