Mawaziri wachongewa
Imeandikwa na Joseph Lugendo; Tarehe: 18th April 2011 @ 23:59 Imesomwa na watu: 269; Jumla ya maoni: 0
MARAIS wa nchi wanachama wa Afrika Mashariki, wametakiwa...
upepo unaovuma ndani ya chama cha mapinduzi unaonyesha kwamba yale yaliyo mtokea rais mstaafu thabo mbeki wa afrika kusini huenda yakamtokea vilevile rais wapo jk. kwa jinsi gamba la ccm lilivyo...
Nimesoma habari hii chini nikabaki kujiuliza; "Kama huyu ndiye Consultant wa Chama Tawala; hivi washauri wa serikali wanatoa ushauri wa namna hii pia?"
Napata wasiwasi kuwa Consultant huyu...
Wajumbe JF:
Sasa naamini usemi kwamba muosha naye huoshwa. Kwa hali ilivyo sasa hivi ni kwamba CCM imeumbuliwa (humiliated) sana na Chadema katika masuala ya ufisadi na hususan baada ya Dr...
Naona kadiri siku zinavyoenda CCM wanahangaika kujiwekea kanuni na mazingira ya wao kula hii nchi mfano mzuri ni kuanza kujipenyeza kwenye mazingira ya ulaji na si mazingira ya kumtengenezea...
Hali ngumu ya Maisha nchini Kenya inawalazimisha wakenya Kutumia nguvu ya umma kuishinikiza serikali kuweka jitihada zaidi kupunguza bei za mafuta. Hapa nchini wana blogu kadhaa,hasa Issa Michuzi...
Wadau, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bwana Masaju na Waziri wa Utumishi Mh. Hawa Ghasia wako live Channel Ten wakitoa ufafanuzi juu ya Muswada wa Katiba...
Mwenyekiti wa baraza la vyama vyote vya siasa nchini Bwana Emmanuel Makaidi ameimwagia sifa kibao CHADEMA kwa kile alichodai ni mapambano yake ya kuondoa mswada wa katiba uliowasilishwa bubgeni...
Wapendwa watanzania wenzangu, Nimeshuudia kwa takriban miaka miaka saba sasa Tangu Benjamini William Mkapa akabidhi nchi kwa JK, Hali ya mwana nchi mpiga kura inaendelea kudorora na hatua...
Katika toleo la Leo la mwananchi kuna kichwa cha habari Dr Slaa ametaja mafisadi wapya ila ukisoma habari yenyewe hakuna ata jina la hao mafisadi ila ni longo longo nyingi.
My take;
Kwa...
Nakubaliana na Jenerali kwamba Mwalimu Nyerere anaonekana shujaa kipindi hiki kutokana na uozo wa viongozi wetu wa sasa. Vinginevyo Mwalimu naye alikuwa na 'madhambi' yake. Kubwa la kujiuliza ni...
Mwekezaji amchoma moto raia Dar
na Hellen Ngoromera
RAIA wa Kiasia anayehusishwa kumiliki hoteli moja maarufu iliyopo Kigamboni anadaiwa kumjeruhi kwa kumchoma moto mkazi wa Mjimwema...
CHADEMA siku za karibuni kimekuwa kikijinadi kwa nguvu sana juu ya kupambana na ufisadi,kinajaribu kuwaonyesha watanzania kuwa wao ndio pekee wanaopigania dhidi ya ufisadi na wengine hawana...
kuna mambo mengi sana yanatokea huko vijijini na vyombo vya habari hawaviripoti hata waandishi wa habari hawaripoti mambo haya
Ni dakika chache tu nimeingia kutoka Kaliua na Urambo. Tumekuwa na...
TATIZO LA AJIRA NCHINI
Nimejaribu kufanya utafiti mdogo kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita na kugundua uwepo wa gonjwa kubwa sana la uhaba wa ajira nchini. Kuna kila sababu ya wananchi wa...
Tunaambiwa kuwa CCM imevua gamba. Nadhani huu unaweza kuwa ni mwanzo wa mwisho wa zama za CCM. Kwa nini ninasema hivi, nitaeleza baadae. Mawazo yangu yananituma kuwa mwisho na kiama cha CCm...
Kama ni kweli kuwa kwenye mradi wa IPTL serikali inalipia tshs 152, 000, 000 kwa siku basi suluhishisho la kuwapatia wananchi wote wa tanzania umeme liko wazi-kama si ufisadi. Kwa msingi huo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.