Siku 21 za Slaa

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,142
3,217
Zile siku 21 za Slaa juu ya kurudia uchaguzi wa madiwani arusha ni lini zitakamilika?
 
Zile siku 21 za Slaa juu ya kurudia uchaguzi wa madiwani arusha ni lini zitakamilika?

Hivi ndio vitu vinavyowapotezea watu credibility, Chadema wanapaswa wawe na priority zao na kuzifuatilia utekelezaji wake na sio kila siku kutajataja tu vitu viiingi na kuviacha vinaishia juu kwa juu!!
 
Mkuu nakubaliana na wewe 10/10. Ndo haya ya kutoa ahadi ahadi mwisho wake haujulikani. Hata JK, pamoja na kutafuta mchawi lakini naye credibility ilishuka sana kwa kuendelea kutoa ahadi zisizotekelezeka.
 
Zile tisa zilikwisha, sasa 21 nazo nauliza sitakwisha lini?

Huoni matokeo ya zile tisa?
  1. Watu wamejaribu kuvua magamba
  2. Nafaka ya SGR imeachiwa katika soko
  3. Suala la mfumuko wa bei linawahangaisha watu
Matokeo ya hizo 21....naomba ufuatilie yanayojiri kwa madiwani huko Arusha
 
The following user says Thank You CAMARADERIE For This Useful Post
Sigma (Today)
 
Katiba mbona walitoa siku 100 na hazijafika na serkali wamechukua hatua hayo ni mojawapo wa kufanikiwa kwa kutoa matamko kama hayo,
 
CCM tumewachoka miaka 40 nchi bado kimeo tu? maisha magumu hivyo! ziwe siku 20 zisiwepo hatuwataki nzi wa kijani tena ktk nchi tumewachoka, kazi kupeana wao kwa wao madaraka sijui lizione, january, mwinyi, kawawa; hii nchi imekuwa ya kifalme? tokeni zenu huko ccm hamna jipya miaka 40 inawatosha.
 
Huoni matokeo ya zile tisa?
  1. Watu wamejaribu kuvua magamba
  2. Nafaka ya SGR imeachiwa katika soko
  3. Suala la mfumuko wa bei linawahangaisha watu
Matokeo ya hizo 21....naomba ufuatilie yanayojiri kwa madiwani huko Arusha

Mkuu, madiwani si walijitoa na bajeti ikapitishwa.
 
Back
Top Bottom