Ujumbe kwa Watanzania katika gari la Mh.GODLESS LEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujumbe kwa Watanzania katika gari la Mh.GODLESS LEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lucchese DeCavalcante, Apr 13, 2011.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG][​IMG]
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  nimeupenda ujumbe huo
   
 3. mbogo31

  mbogo31 JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Huo ndio ukweli, Lema ni mpiganaji wa kweli.
   
 4. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  jembe la ukweli kutoka arusha,,,, sana tu,,, ujumbe wa ukweli huo
   
 5. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  :tape:
   
 6. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #6
  Apr 13, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  safi sana, ujumbe wa kimapinduzi.
   
 7. papaa-H

  papaa-H Member

  #7
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  thafi thana....
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ngoja tuone wazee wa itifaki utaskia tu huu ni uchochezi nyie subirini tu..
   
 9. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa; huo ni uchochezi, tunachochea watu kujitambua, kuamka na kudai haki zao kutoka kwa wanyonyaji mabwanyeye uchwara!
  NA YEYOTE ANAYEUMIZWA NA UAMSHO WA WANYONGE NI MNYONYAJI NA FISADI ANAYESTAHILI KUNYONGWA!
   
 10. ase

  ase Member

  #10
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mimi natabiri lema atakuja kuwa mpiganaji wa kutisha
   
 11. k

  kyerwa Member

  #11
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania hawatabiriki anaweza pia kuwa fisadi wa kutisha
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nyota njema huonekana asubuhi, cna hakika na maneno yako. Mtu mnafiki huwa anaonekana tangu mwanzo, huwezi kufcha unafiki, Lema sio mnafiki na 2mwombe mungu azidi kumlinda coz ni m1 wa watetezi wa waTZ wanyonge wasiojua haki zao. Mungu ibariki Tz. Mungu mbariki G'LEMA pamoja na wale wote wanaotaka mageuzi ya kweli Tz.
   
 13. shemasi

  shemasi Member

  #13
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  busara nehi
   
 14. Unyanga

  Unyanga JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  baada ya maandishi vitendo tuvione lakini ikiishia kwenye maandishi inakosa maana! Tumezoea kuona maneno mazuri kwenye mabango ya wanajiita wanaharakati lakini vitendo huwa duni siku zote! Katika hili mr.Lema nitakusifu nikiona vitendo vya dhahiri na sasa naomba niliweke moyoni!
   
 15. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  something straight! no mikunjo kunjo!! i like it too...
   
 16. Onambali

  Onambali Member

  #16
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa ujumbe huo nampa alama 'A+'. Hilo ni katapila la mapinduzi. Tumuunge mkono aendeleeze mashambulizi ndani ya timu inayoelekea ikulu 2015.
   
 17. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Safi sana..ni ujumbe wenye kubeba maana kubwa
   
 18. E

  Emma505 Member

  #18
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani ni kweli lakini tuangalie watoto na wezee. Kwa sisi vijana wenye nguvu tunaweza, lakini waathirika watakuwa ni hawa. Tudumishe amani jamani.
   
 19. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Lema anafaa sana kuiangusha CCM katika ngome yao kuu, Dodoma. Nimefurahi sana kupangiwa Dodoma kuongoza maandamano.Kwa ujasiri ujasiri alionao ataikuza CDM hapo Dom.Nashauri apangiwe kuwa mlezi wa vijana wa CDM hapo Dom, vijana wa Arusha wamesha komaa.
   
 20. M

  Mkira JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2011
  Joined: May 10, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hivi speech ya OBAMA KWA VIONGOZI WA AFRICA ALIYOITOA GHANA MMEISHA WAHI KUSIKIA. HASA MESSAGE YAKE KWA VIJANA.


  "... To the young people in Africa, you have the power to make LEADERS OF YOUR COUNTRIES ACCOUNTABLE TO BUILD INSTITUTIONS THATSERVE THE NEEDS OF THE POEPLE....., YES YOU CAN DO IT ....YES YOU CAN BUILD YOU FUTURE .... I PROMISE AMERICA WILL DO ALL IT CAN TO HELP YOU IN EVERY STEP YOU TAKE "

  YouTube - Obama in Ghana Parliament: Full Speech 11 July 2009


  KWA HIYO VIJANA WA TANZANIA TUSIWE WAOGA NCHI INAISHA SERKALI IKUTUMIA POILIS KUTUUA HAWATAUA WENGI HAWAJASHUKUKIWA KAMA LIYA NA TUNISIA ETC, SULA LA KATIBA TUSIKUBALI KUBURUZWA HATA KIDOGO MA WAHUNI.
   
Loading...