Wakenya Wanatumia Nguvu ya Umma Kupinga Hali Ngumu Ya Maisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakenya Wanatumia Nguvu ya Umma Kupinga Hali Ngumu Ya Maisha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Apr 18, 2011.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Hali ngumu ya Maisha nchini Kenya inawalazimisha wakenya Kutumia nguvu ya umma kuishinikiza serikali kuweka jitihada zaidi kupunguza bei za mafuta. Hapa nchini wana blogu kadhaa,hasa Issa Michuzi na Mohammed Dewji walitoa changamoto kwa serikali yetu kufuta kodi ya mafuta angalau kwa muda ili kuleta unafuu kwa wananchi ambao wanaumizwa na hali ngumu ya maisha
  Kenya Source: The Standard | Online Edition :: Uhuru fends off public discontent fends off public discontent

  Tanzania Source: Mohammed Dewji Blog » Blog Archive » IS PETROLEUM TAX MORATORIUM (FREEZE) NECESSARY TO EASY ECONOMIC HARDSHIP…??!!
   
Loading...