Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

''Rushwa ni adui wa haki. Tunamtaka rais ambaye atalitambua hilo na ataichukia rushwa hata ukimuangalia anaonyesha kweli anaiichukia rushwa, sio rais ambaye anayesema kweli rushwa ni adui wa haki...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
hakika ccm ya leo ni hopeless. hopeless chama cha mapinduzi: bado kinaamini pasipo hata chembe ya soni kwamba watanzania bado ni mazuzu wa kufikiri. ndiyo maana hawaishi kuja na slogan kila...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Mbunge wa ARUSHA MJINI mh Godbless lema baada ya safari za Nzega na Igunga, ametua jijini Arusha na kuwasha moto wa pekee kwa wanafunzi wa chuo cha uhasibu kilichopo Njiro jijini humo. Ufunguzi...
1 Reactions
97 Replies
10K Views
Watumishi wa umma tunaofanya hospitali za jeshi tunadhalilishwa na jeshi hili kwa kutolipa kodi kwenye nyumba tulizopangishiwa uraiani,HAYA NI MAGAMBA NA JESHI LIIGE MFANO WA CCM!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yule kijana wa Kitanzania kutoka Zanzibar ambaye alichana Muswada wa katiba apongezwe. Kitendo hicho ni cha kijasiri na kinacho tafutwa sana na watanzania wapenda maendeleo kama Mimi.. Hivi hawa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Sioni jambo jipya linaloweza kufanikishwa na CCM ikiwa mambo waliyopanga wenyewe yamewashida kama nilivyoweza kukumbuka machache hapa chini: Chama cha Mapinduzi kilishindwa kutekeleza programu...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Katika pitapita zangu nimekumbana na mambo mengi sana ya kishirikina ndani ya CCM. Na waliowengi ndani ya hicho chama wamekuwa mstari wa mbele kuabudu ushirikina kuwa ndo kinga ya nafasi zao ndani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dear JF members, Watanzania kwa mara nyingine tena, tumeendelea kupumbazwa na usanii wa hali ya juu unaosanifiwa na kutekelezwa na Chama Cha Magamba maarufu kwa kifupi kama ccm. Baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Clerics caution on resource use By The guardian team 23rd April 2011 Evangelical Lutheran Church of Tanzania Head Bishop Dr Alex Malasusa (R) with other faithful at Azania Front Church...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Mbunge wa singida mashariki (chadema)Tundu lissu,wakati akijadili kipengele cha wajumbe wa kamati za maadili na nidhamu za mahakama.Lissu ambaye pia ni mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Ili niujue UONGO lazima niwe na UKWELI. Nitaendelea kuuamini uongo kuwa ndiyo ukweli hadi pale nitakapoujua UKWELI.Nikijua ukweli ukaniletea uongo ukisema huu ndiyo ukweli nitakwambia wewe ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
RAIA MWEMA UGHAIBUNI CCM na joka lenye vichwa vitatu! Evarist Chahali, Uskochi Aprili 20, 2011 Litasalimika viwili vikikatwa? MARA baada ya kupata taarifa kuhusu mabadiliko ndani ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau; Hii nayo kali Nape anaambiwa kampeni yake ni unafiki mkubwa nia ni kupoteza lengo tu. Huyu Amb. Ndobho anataka wote walionufaika na hela za EPA watoke CCM -- bila shaka akiwemo Mkuu...
7 Reactions
28 Replies
4K Views
Wana jf...kweli leo nimeamini wabunge wa ccm ni vichefuchefu....spika amerudisha muswada wa maoni ya katiba wao wanapiga vigelegele na kushangilia bila aibu eti ccm ccm ccm ni aibu kubwa sana...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
JANA KWA MARA YA PILI KUMSIKIA DR AVERY (samahani jina nitakuwa nimelisahau) AKICHIKIZWA NA JINA TANGANYIKA. HUYU BWANA NI MHADHIRI CHUO KIKUU NA NILIMUONA KUPITIA CHANNEL TEN KWA MARA YA KWANZA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
22nd April 11 Why Tanzanians fear EAC federation Felister Peter As more countries show interest in joining the East African Community (EAC), the Minister for East African Cooperation, Samwel...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
IJUMAA KUU: Maaskofu wahofia hatima ya nchi Send to a friendSaturday, 23 April 2011 09:01 Askofu mkuu wa kanisa la Kilutheri Tanzania (KKKT) Alex Malasusa mbele kulia akiongoza mamia ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Madiwani wa Chadema wakiongozwa na Mbunge Lema wanasusia vikao vya baraza la madiwani katika manispaa. Mara ya mwisho walisusia kikao cha budget and this was very wrong kwasababu decisions...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Tathmini ya utendaji wa wabunge iliyofanywa katika Mkutano wa Tatu wa Bunge la 10 uliomalizika wiki iliyopita, umeonyesha kuwa wabunge wa upinzani wameonyesha ufanisi mkubwa ikilinganishwa na wale...
5 Reactions
52 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…