Kweli Chadema Ndio Inaongoza Serekali

JIULIZE KWANZA

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
2,569
499
Wana jf...kweli leo nimeamini wabunge wa ccm ni vichefuchefu....spika amerudisha muswada wa maoni ya katiba wao wanapiga vigelegele na kushangilia bila aibu eti ccm ccm ccm ni aibu kubwa sana,

wamenyamazishwa na lema au kabwe kama sukosei maana sikumuona vizuri akisema shangilieni vizuri maoni ya chadema...nauliza swali kuna mbunge gani wa ccm aliye bungeni sasa hivi aliyetoa maoni kupinga muswada huu wa katiba?

Dah kweli itabidi hata jk ampigie Dr wa ukweli magoti na amuheshimu kama kiongozi wake, thanks Chadema's team
 
Rais wa Tz ni Dr W.P.Slaa huo ndio ukweli,huyu mwingine anatutawala kwa Unyonge wetu,lakini tunashukuru kwa 7bu anatekeleza maoni na sera za Cdm
 
hiki ndicho chama kinachoongozwa na nguvu ya umma, hata ccm hawajui kama wanaabudu falsafa ya CDM, hii leo nimeipanda.
 
kwani JK hawezi kumuita ikulu DR kwa ajili ya kuomba ushauri! HIII NI KWA NCHI YETU WAKUU. AU NDO YALE KUOMBA USHAURI PIA NI AKILI!
 
Wabunge wa ccm ni kama stooges!...Wako pale kama wajibu tu wa kuwepo....JK analijua hilo!
 
Ni Psychology mass manupulation wanataka wananchi waone kwamba serikali imeamua kwa niaba yao na watakuwa walijadili na kujipanga wanatia aibu
 
Wana jf...kweli leo nimeamini wabunge wa ccm ni vichefuchefu....spika amerudisha muswada wa maoni ya katiba wao wanapiga vigelegele na kushangilia bila aibu eti ccm ccm ccm ni aibu kubwa sana,

wamenyamazishwa na lema au kabwe kama sukosei maana sikumuona vizuri akisema shangilieni vizuri maoni ya chadema...nauliza swali kuna mbunge gani wa ccm aliye bungeni sasa hivi aliyetoa maoni kupinga muswada huu wa katiba?

Dah kweli itabidi hata jk ampigie Dr wa ukweli magoti na amuheshimu kama kiongozi wake, thanks Chadema's team

Mtoa mada lazima ujue Upinzani sio uadui bali ni kutoa mawazo mbadala kwa nia na madhumuni kuleta ustawi wa jamii.

Na kiongozi mzuri ni yule anayekubali challenges kwa mustakabali wa jamii nzima. Kwani wote nia ni kujenga na si kubomoa
 
Namwona hapa Anna Kilango anaipongeza serikali kwa kurudisha mswada kwa watanzania, hv anajua nani amesababisha hili nadhani angewapöngeza wadau wa katiba
 
Namwona hapa Anna Kilango anaipongeza serikali kwa kurudisha mswada kwa watanzania, hv anajua nani amesababisha hili nadhani angewapöngeza wadau wa katiba

Mtu akikuuzia sub-standard products anapongezwa? Nilitegemea wangemshauri Mh. Kikwete ambadishe Waziri aliyeleta Mswada huu ambao umeidhalilisha Serikali yake mbele ya umma wa wananchi na si kupongeza.
 
Nilitegemea wangemshauri Mh. Kikwete ambadishe Waziri aliyeleta Mswada huu ambao umeidhalilisha Serikali yake mbele ya umma wa wananchi

kwa utawala unaowajibika kwa wazalendo, haiwezi kuishia kwa waziri kubadilishwa, Afukuzwe kazi, Mwanasheria mkuu na ofisi yake pigwa chini,
na Mwisho Kikwete ajiuzulu kwa kulidhalilisha Tanzania.
 
Mtoa mada lazima ujue Upinzani sio uadui bali ni kutoa mawazo mbadala kwa nia na madhumuni kuleta ustawi wa jamii.

Na kiongozi mzuri ni yule anayekubali challenges kwa mustakabali wa jamii nzima. Kwani wote nia ni kujenga na si kubomoa

CCM ingelikuwa na nia ya kujenga Taifa hili kwa kipindi ilichokaa madarakani, Taifa hili lingeshakuwa walau ni la "kati" na siyo at the "bottom end" of prosperity and economic ranking duniani!!

If you acknowledge kuwa most of CCM MPs maslahi yao kwanza ni kwa ajili ya matumbo yao na ya chama chao, then this would be a step forward!! Kwani muda mwingi you do your best ku-undermine upinzani, at the same time nothing aromatically developmental seem to ever emanate from that big bowl of magamba soup!!
 
wana ccm hawaipendi tu chadema kwa maneno ila kwa vitendo wanaipenda kupita kiasi....

IMG_6368.JPG
 
INCREDIBLE!
THANK YOU EVER SO MUCH CHADEMA! I think for the first time ever in her miserable history Tz has got a tru political party (not only an opposition party) but rather importantly for it's national interests.

Everyone hongereni sana!!! CHADEMA oyeeee! Peoples'.....power!
 
CCM ingelikuwa na nia ya kujenga Taifa hili kwa kipindi ilichokaa madarakani, Taifa hili lingeshakuwa walau ni la "kati" na siyo at the "bottom end" of prosperity and economic ranking duniani!!

If you acknowledge kuwa most of CCM MPs maslahi yao kwanza ni kwa ajili ya matumbo yao na ya chama chao, then this would be a step forward!! Kwani muda mwingi you do your best ku-undermine upinzani, at the same time nothing aromatically developmental seem to ever emanate from that big bowl of magamba soup!!

CCM hawana uchungu na nchi yetu. Tanzania si nchi maskini hata kidogo. Tanzania haistahili kuwa ombaomba. Tuna utajiri mwingi na wa kutosha Mungu aliotujalia lakini wao CCM wanafikiria kuwa madarakani milele.
 
Back
Top Bottom