Je Tanganyika ni tusi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Tanganyika ni tusi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jacobus, Apr 23, 2011.

 1. Jacobus

  Jacobus JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 3,580
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  JANA KWA MARA YA PILI KUMSIKIA DR AVERY (samahani jina nitakuwa nimelisahau) AKICHIKIZWA NA JINA TANGANYIKA.
  HUYU BWANA NI MHADHIRI CHUO KIKUU NA NILIMUONA KUPITIA CHANNEL TEN KWA MARA YA KWANZA AKICHUKIZWA NA WALE WAPENDAO TANGANYIKA, SASA JANA VILEVILE KUPITIA ITV.
  SASA NAJIULIZA KUNA TATIZO GANI NA TANGANYIKA? TUNAVOFAHAMU TANZANIA NI MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR SI KAMA MOBUTU ALIVOBADILISHA JINA LA CONGO KINSHASA NA KUIITA ZAIRE.
  NADHANI BWANA HUYU ANAMUIGA BABA WA TAIFA LAKINI YEYE HAKUAMINI SANA JINA LA NCHI ILA ALITUELEZA KUWA YEYE ALIKUWA ANATEMBEA NA VITABU VIWILI TU (AZIMIO LA ARUSHA NA BIBLIA) NA SIO KATIBA ILIYOZAA TANZANIA.
  NASHAWISHIKA KUAMINI KUWA HUYU MHADHILI ANA UDIKTETA KIDOGO.
   
Loading...