Kigogo CCM ataka walionufaika na hela za EPA wajitoe CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigogo CCM ataka walionufaika na hela za EPA wajitoe CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Apr 23, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wadau;

  Hii nayo kali Nape anaambiwa kampeni yake ni unafiki mkubwa nia ni kupoteza lengo tu.

  Huyu Amb. Ndobho anataka wote walionufaika na hela za EPA watoke CCM -- bila shaka akiwemo Mkuu wa Kaya! Anashangaa kwa nini Nape analikwepa hili!

  Halafu ni gazeti la RA ndiyo limeandika hivyo! mambo kweli kweli!!!


  TOP CCM CADRE SAYS ‘SKIN-SHEDDING’IS HYPOCRISY:
  Wants beneficiaries of EPA money to quit CCM


  By Staff Reporter, Musoma
  A prominent cadre in the ruling Chama Cha Mapinduzi in Mara region has described the recent changes in the party’s top leadership as mere hypocrisy that Tanzanians cannot tolerate to see.

  The cadre, Ambassador Paul Ndobho told reporters here yesterday that if CCM wants to remove its old shell it is important for the leaders who spent money from the Central Bank (BoT) External Payment Arrears account to propel themselves into power to get out of the party.

  Said he: “We know most of them are members of NEC and we want them to be shown the exit door. That done we can then believe this is free corruption Nyerere’s CCM,” he said.

  He said a good number of NEC members were obtained by bribing other members so that they could vote for them, adding that there is no way they could clean themselves by pointing fingers at most of members due to the fact that they were elected through shortcuts.

  Amb Ndobho saidit was wrong for CCM to compare itself with a snake that has shed its former skin (‘gamba’) as even if it does so the poison inside the snakes still remains.

  “And that is what the majority of the people are screaming at as the poison would still be in its body, Amb. Ndobho said.

  He added: “I’m a staunch, loyal CCM member but what has been done inside the party is nothing but deception. Were the problems blighting Tanzanians within CCM’s ‘skin’ or its ‘poison’? he enquired.

  Ndobho, formely a Musoma rural Legislator (1995-2000) said the corruption issue inside CCM cannot be compared to snake skin because a good number of leaders have been obtained through corruption, the issue which has been a big problem to the wananchi and their quest for development.

  He said it was amazing to see a big political party like CCM pointing finger at some people claiming that they are ‘giants’ of corruption forgetting that even among those who are pointing fingers came into power through corruption.


  Chanzo: The African on Saturday
   
 2. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,694
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Kabla ya kufukuza mke lazima uwe makini, la sivyo utakuta mitaa yote imetapakaa siri zako.

  Did they expect the three to go down quietly? This is just the begining.Waache wang'atane sisi tutafuta damu!
   
 3. MANI

  MANI Platinum Member

  #3
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Nafikiri ni sawa alivyosema balozi.
   
 4. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #4
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,771
  Trophy Points: 280
  Watu wanaongelea EPA tu hivi meremeta,richmond,IPTL,Dowans, nk hayajaififisha tz? mimi nadhani ccm yote mpaka baba r1 waondoke na wakatafute nchi nyingine yakuishi tuwafutie uraia kabisa kuonyesha taifa limerejea kwenye jando la kizalendo!!!!!!!!!
   
 5. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,555
  Likes Received: 4,683
  Trophy Points: 280
  Mnufaika wa kwanza ni Jakaya Mrisho Kikwete, kwani anakula bata hapo magogoni kwa fedha ya EPA.
   
 6. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa watabomoana mi naona chama kinaelekea kaburini,maana hakuna aliye msafi jamani!
   
 7. Maverick

  Maverick JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2011
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 308
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watajwe na kiasi walichochukua. Zaidi ya hapo inakuwa ni majungu na kelele za kubweka.
   
 8. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Yes a BIG UP to Amb. Paul Ndobho,He is quite right. I concur with him by 100pc.
  Paul Ndobho is one of those cadres groomed by Mwalimu JK Nyerere(RIP) himself. Ndobho knows what he is talking about.

  Tell them Ndobho,tell Kiwete,tell Nnape,tell Malecela,tell Mukama,tell Chiligati. Go tell them that what they are doing is a HIGHEST DEGREE OF HYPOCRICY!
   
 9. K

  KWELIMT Member

  #9
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ushauri wa bure kwa ccm ni kwamba waachane na kampeni za kujivua gamba + ufisadi kwani wataumbuana sana,kuna madudu yatazidi kuwekwa wazi hadi wataona hawakufanya kitu dodoma,ukweli ni kwamba magamba waliyoyavua ni kidogo sana.


  kobe akijivua gamba hatabaki salama
   
 10. k

  kamimbi Senior Member

  #10
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM wasikurupuke kujivua magamba kwa staili kama hii, mbona mafisadi ni wengi na hata baadhi ya wanaowanyoshea vidole wenzao ni mafidadi nao?

  Huu ndo mwisho wa CCM, utawala ulio fitinika kamwe hauwezi kusimama, tatizo kubwa lililopoi ni CCM kutaka kukausha maji yanayotoka bombani kabla ya kufuknga bomba linalo toa maji, its a time we need new leadership from other political parties.

  Kumtoa Makamba na kumuingiza January Makamba ndani ni upuuzi, kila atakachoagizwa na dingi yake lazima atatekeleza, vivyo hivyo yule fisadi aliyewatosa mafisadi wenzake ni uongo tu, kwani bado ataiba na kuwapelekea ili kulipa fadhira.

  Naona tatizo si viongozi mafisadi ndani ya sisiem hapa ni sisiem yenyewe ndo tatizo kwakuwa imeharibika zaidi ya robo tatu.

  Naomba tuiingize CHADEMA Ikulu ili tuachane kabisa na mambo ya magamba ambayo ni uchafu mtupu.
   
 11. X

  Xavery Member

  #11
  Apr 23, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya ni matunda ya dhambi. Dhambi zilizofanywa ni nyingi mojawapo ni hii ya kufanya urafiki na kuwapo uhuru wa kufanya chochote.

  Kwa kutumia uhuru huo na kwa akili (ambazo mara nyingi hufunika uwezo wa kufikiri wa wapendao vya bure) zao nyingi za kimjini, watenda maovu wakuu au humiliki au hujipenyeza kwenye vyombo vya habari ili kujisafisha au kuwaharibia maadui zao.

  Ni vyema watawala wakafahamu kuwa rafiki zao wa sasa ni maadui wao wakubwa wa baadaye, mifano ni mingi ndani na nje ya Afrika. Hivyo sishangai kuona gazeti la RA kuandika hayo.
   
 12. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mshirika wa EPA, JITU PATEL alichanga milioni 250 katika ndoa ya Malecela na Anna Kilango; source Sofia Simba (Aliyekuwa Waziri wa Utawala Bora;- Bosi wa PCCB na TISS
   
 13. MANAMBA

  MANAMBA Senior Member

  #13
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shiiii ! msimtaje taje sana baadhi ya viongozi wa dini hawapendi, watawaambia mnaajenda yenu eti kwasababu ya...yake. (ushauri wa bure)
   
 14. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Safari imekwiva! Niagieni niagieni, niagieni na rafiki zangu wapora mali za watz kwa malipo ya tshirt, skafu na khanga.
  Ninasema niagieni, niagieni, niagieni na wafufua umeme wa dharura, niagieni niagieni.
  Niagieni, niagieni na wawekezaji ktk migodi ili hali wakiwa ikulu niagieni, niagini.
  Niagieni niagieni na waanzisha NGO na wafanya biashara wakubwa pale magogoni, niagieni niagieni.
  Niagieni, niagieni, niagieni, niagieni orodha ya madudu ni ndefu, nasema niagienu, niagieni.
  Niagieni siwezi rudi kwenye mstari kwa utumbo nilofanyia watz, nasema niagieni, niagieni.
  Niagieni niagieni naenda kuwa chama cha upinzani, nasema niagieni, niagieni.
  Tehe tehe teheeee, sikio la kufa!
   
 15. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  You can't believe this comes from a CCM member.

  Wangejitokeza mapema na kukataa ujinga wa wenzao tusingefika hapa tulipo.

  Nampa hongera hata hivyo ambassador lakini wame to let down sana. Wanahitaji kutuomba msamaha.
   
 16. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,303
  Trophy Points: 280
  Naona wengi kati ya watu wanaopinga maazimio yaliyofikiwa na CCM ya kuwatosa kina Lowassa ni waandishi wa habari... ambao 'oxygen' wanayovuta inatokana na vita vya hizi kambi mbili ndani ya CCM.... Wanahofia vita ikiisha na wao watakuwa wamekatiwa 'oxygen' ya kuvuta...
   
 17. A

  Ame JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Hawawezi tena maana wasipofanya hivyo watazama wote waliokuwemo na wasiokuwemo. Hivi vita si vyetu sisi ambao hatukuwa sehemu ya ufisadi wa CCM they know better what and how exactly they can do na kama ambavyo tumekuwa victim wa evil doings zao vile vile tutakuwa wanufaika wa hii agenda ya CCM. Bravo CCM sisi tunakupigia makofi ucheze mchezo wako vizuri na kutoa ufundi wako wote uliokuwa unautumia kutudhibit kujidhibit mwenyewe.
   
 18. A

  Ame JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  I dont think if CCM will ever die ila mafisadi lazima waangamie! CCM na chama kikuu cha upinzani vitaanzisha historia mpya ya utawala hapa Tanzania.
   
 19. C

  CHESEA INGINE Senior Member

  #19
  Apr 23, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwa mtindo huu, hakutakuwepo na usalama kwa hiki Chama. Ni swala la muda tu. La mgambo limeanza tusikilizie!
   
 20. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wataangamia vipi iwapo Executive (Mkuu wa Kaya) anashindwa kuwachukulia hatua na badala yake anawa-enlist wata kama Nape kufanya kazi hiyo? Kwanza huyo Nape mbona hafukuzi wale waliohusika na ufisadi wa jengo la UVCCM, suala ambalo alionekana kulivalia njuga na baadaye kunywea?
   
Loading...