Hopeless Chama Cha Mapinduzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hopeless Chama Cha Mapinduzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Prophet, Apr 24, 2011.

 1. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakika ccm ya leo ni hopeless.

  hopeless chama cha mapinduzi: bado kinaamini pasipo hata chembe ya soni kwamba watanzania bado ni mazuzu wa kufikiri. ndiyo maana hawaishi kuja na slogan kila leo, lakini maendeleo yetu yanazidi kudidimia.

  hopeless chama cha mapinduzi:kinatumia dhana ya udini ili kuwatisha watanzania wasahau kudai haki zao ama hata kuwaza kuhusu haki zao kwa kuhofia vurugu za kidini. hata hivyo kila nikisikiliza vituo vya redio vya kidini hasa vya kikristo, na hata mafundisho na mahubiri mbalimbali katika ibada, sijawahi kusikia wakristo wakiusakama uislamu na kwa hiyo hoja hii pia inakosa makalio wala mashiko. inabaki kuwa hoja nyepesi kabisa ambayo haitaturudisha nyuma katika harakati zetu za kukiondoa madarakani chama hiki cha mafisadi.

  hopeless chama cha mapinduzi: kimekimbiwa na vijana. sasa kinahaha kujaribu kuwarudisha vijana pasipo mafanikio. vijana hawana elimu. ccm imevuruga utaratibu wa uliokuwapo zamani wa kuwa na shule za serikali ambapo mwanafunzi aliyefaulu shule ya mpimbwe anapangiwa sekondari ya Kibaha. CCM ya kikwete imekuja na shule za kata. yaani masanja amezaliwa ibadakuli, amekulia ibadakuli, amesoma shule ya msingi ibadakuli, na sekondari amesoma hapohapo ibadakuli. masanja huyu atafika form 4 hajui hata kuzungumza kiswahili. this is not a joke. shule za kata hazifai, labda vigeuzwe vituo vya kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu. kwa mfumo huu mbovu wa elimu, ccm haiwezi kubaki na kijana hata mmoja.

  hopeless chama cha mapinduzi:inajengea vijana vijiwe vya kugonga kokoto na vituo vya kukusanyia chupa za plastiki (chupa zingine zinaokotwa zikiwa na mikojo). ajira 1000000. kwenye vijiwe hivi, ccm wamejenga mashina ya chama. sisi tunaoona kupitia madirisha ya daladala vijana wenzetu wakisota kugonga mawe ya kokoto tunapatwa na hasira. tunakichukia kabisa chama hiki kilichoshindwa kudhibiti hali mbaya ya maisha ya watanzania.

  hopeless chama cha mapinduzi: badala kishughulikie kero za watanzania, chenyewe kimekalia kupigana vijembe na chama chetu chadema, na kujivua magamba. ama kweli ccm ni nyoka. wakati mimi nasubiri kwa hamu kubwa kuona namna kigoma inavogeuzwa dubai, ccm inachomekea hoja ya magamba na kikombe cha babu. watanzania siyo wajinga. we are more smart than you, at least in terms of thinking intellectually.

  hopeless chama cha mapinduzi: kimedharau maono ya Nyerere (RIP). kila kitu wamekizika kama walivyomzika Mchonga-Meno. Kila leo, wanakumbushwa kurudi kwenye mstari na wazee wa chama, lakini kuonesha laana na dharau juu ya Mwalimu, Kiikwete anadiriki hata kulaumu ujamaa uliobuniwa na Nyerere. ccm haiwezi kupona katika hili...kumdharau Baba. Kikwete anadharau maono ya Baba wa Taifa wakati yeye amepewa miaka 10 ya kuiongoza nchi na hajaja na wazo jipya japo kufunika uovu wa ujamaa wa nyerere, na hivyo kuhalalisha madai yake kuwa 'tatizo ni ujamaa'. huu nao ni unafiki, na kujitetea baada ya kushindwa kuongoza nchi.

  hopeless chama cha mapinduzi: kina lazimisha watanzania wakipende kwa nguvu. kinabaka fikra za watanzania. ubakaji hauruhusiwi. ni kosa la jinai. ukikataliwa umekataliwa. andika maumivu.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Nimeprint hii kitu.....ubarikiwe sana!
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Mjepu

  Banned
  This message has been deleted by JF Moderator 1.

  duh ... hii thread inautamu wake .... kuanza tu mtu keshakula ban
   
 4. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hopeless CHADEMA : Kwa kuwa chama cha kidini, kikabila na kikanda

  Hopeless CHADEMA : Kwa kuwafanya watanzania wasiweze kuishi kwa amani , utulivu na uelewano ndani ya nchi yao

  Hopeless CHADEMA : Kwa viongozi wake kuwafunza watoto na vijana wa kitanzania tabia mbaya ya kuchukua na kupora wake za watu

  Hopeless CHADEMA : Kwa kuchagua viongozi na wabunge wa viti maalum kutoka ukanda mmoja na kutoka familia za viongozi wa chama hicho
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  wewe shangazi GeniousBrain

  usipende kudessa creativity za wenzako... kuwa na desturi ya ubunifu wa posts na siyo ku counter kilekile alichotoa mtoa mada... inadhihirisha wazi kwamba ufikiri wako una maradhi ya kwashakoo
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kuwa mbunifu kila kitu unacopy kweli wewe ni Makamba sorry Magamba!
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  naomba kijana utaje kijana yoyote aliofundishwa kupora mke na wapi watu wanaishi bila ya amani naomba jibu fasta..
   
 8. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Inauma eee kusikia CDM ni chama cha kidini, kikabila na kikanda. Na mmemchukua Prof. Safari ili ku neutralize hali ya hewa ndani ya CDM, ila watanzania wameisha amka na wanawaelewa sana hivi sasa, hatudanganyiki !
   
 9. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mnamjua kiongozi wenu mwenye tabia hiyo anawafundisha vijana tabia mbaya na watoto wa taifa hili. Mauaji mliyosababisha arusha huko sio kuvunja amani ? amka acheni kutumiwa na viongozi wa kidini kwa mgongo wa CDM
   
 10. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Inauma kumbe eeeeee , pole pole vumilia eeeeee
   
 11. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,437
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Looks like muimba taarabu..!!!
   
 12. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  laughed off!!
   
 13. Platnam

  Platnam JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 208
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Inaonyesha Chama Cha Magamba mlivyo na fikra za kitoto....Na hamuwezi kukua iwapo mwenyekiti wenu wa chama bado ana ubongo mchanga..
  Kalale ukue.
   
 14. Silas Haki

  Silas Haki JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 368
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hii imetulia, inabidi CCM waifanyie kazi kukinusuru chama wasije wakakizika nacho kika-RIP
   
 15. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Sugu kapora mke wa jafarai Shyrose na tabia hii kaiga kutoka kwa viongozi wa CDM wanaoishi na wake za watu gesti.
   
 16. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Duh ! kweli aisee like father like son
   
 17. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Hapo bado hatujatoa na data za DJ Mbowe na Mbunge wa viti maalum Singida, Mtinda.
   
 18. K

  Kijallo JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  umejuaje kuwa waliopost hiyo topic ni Cdm?labda ni wa Cuf,Nccr,au hata Ccm wenyewe,kweli mna tatizo,mshahara ni sh ngapi?maana kazi ni kubwa kuliko Shitambala,lakini mwenzenu kalamba mil 500,kwa kurudisha kad tu,wewe je?au unatumika kama mpira ya kiume,
   
 19. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Shyrose walioana lini na Jafarai? Na hiyo ndoa ilifungiwa wapi? Tuache kukurupuka!!
  Nimeshaamini watu wote wa Magamba ni kama baba yao Makamba! Full mipasho!
   
 20. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Makubwa ! tutayajua mengi ya CDM safari hii
   
Loading...