Chadema hamuwatendei haki wana arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema hamuwatendei haki wana arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NOT ENOUGH, Apr 23, 2011.

 1. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Madiwani wa Chadema wakiongozwa na Mbunge Lema wanasusia vikao vya baraza la madiwani katika manispaa. Mara ya mwisho walisusia kikao cha budget and this was very wrong kwasababu decisions zinafanyika in their absence sababu tu koramu inakuwa imetimia.

  Hii ni mbaya zaidi kuliko hata kuhudhuria kwasababu maamuzi yanaendelea kufanywa na madiwani wa CCM ambao hatuna imani nao. Nafahamu kuna baadhi ya madiwani wa chadema pia wao wenyewe hawapendi mgomo huu ila inakuwa ngumu kwenda kinyume na wenzao. Hii naifananisha na ile ya Zitto na wengine kuto unga mkono wabunge wa chadema kususia hotuba ya Kikwete.

  Pls - kaeni chini muone ni vipi mnaweza peleka hii move ya Umeya kisheria na sio kususia vikao muhimu kwani mnatunyima haki yetu ya maendeleo.
   
 2. g

  gepema Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Acha kutuzuga wewe unadhani sisi ni mabwege? Hebu tueleze lini kolamu ilitimia???
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  Kama hujatumwa na mafisadi ni vizuri lakini kinachotangulia ni haki kwanza.............huwezi kuhalalisha uhuni wa ccm kwa chadema kutosusia vikao........baadaye ccm walivyo wanafiki watasema mnaenda vp mahakamani wakati mnashiriki kwenye vikao na maamuzi yote muhimu..............haki sisi wana chadema tunapongeza maamuzi yao na tupo nyuma yao mpaka ccm na kikwete waelewe kuwa watz wa sasa sio wale wa kuburuzwa
   
 4. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kwanza unatakiwa kujua jumla ya madiwani ni wangapi. CCM+CDM+TLP then koramu ni percentage gani.
  Try to find out kikao cha budget madiwani wote waliohudhuria halafu utoe wmadiwani wetu wa CDM ndo utajua kama koramu ilitumia au la.
   
 5. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mahakamani kesi ya nini?
   
 6. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nakushauri bure. Wewe kawashitaki madiwani na mbunge wa Arusha mjini kwenye mahakama ya CCM labda watakupa haki.
   
 7. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  madiwani wetu wa CDM

  ACHA USHAKUNAKU, UNAFIKI, UZANDIKI, USHANKUMPEPE WEWE. CDM HAINA WANACHAMA WAJINGA KAMA WEWE HUNA DIWANI NDANI YA CDM.
   
 8. k

  kakini Senior Member

  #8
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  mara ya mwisho kupima akili yako ni lini?
   
 9. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Wakati raisi feki wa Ivory Cost Gabo akijitangazia madaraka shughuli zote na uuzaji wa kakao ulicmama uku ukitambua ndilo linalowaingizia pato la taifa so sioni ajabu cdm wakigoma mpaka uyo aliyejipa madaraka atoke.
   
 10. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ur slave,na unatumika, unazngua.
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa anajidai CDM lakini nimefatilia thread zake alizo anzisha naona katumwa...
   
 12. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mawazo ya kitoto hayo.
   
 13. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #13
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Not enough jana ulikuja na thread ya ajabu ukashindwa kujenga hoja,mwisho ukaanza kusema et waenda kumwandalia mr maji,inaonekana wewe bila kuisema chadema siku haijatimia
  kimsingi wewe ni mpotoshaji wa makusudi kabisa,
  1.je una hakika koramu ilitimia?na kama ilitimia je ni ngapi?
  2.Je wajua kanuni inasemaje?
   
 14. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nanyaro wewe ukiwa kama Diwani sema kama mnayofanya ni haki kwa SISI wapiga kura, kumbuka nyie interest yenu ni umeya ila wananchi tunaangalia overall if the move helps us or not.
   
 15. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Duh! Popompo umerudi!
   
 16. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Mh. diwani wa levolosi jijini Arusha. Diwani wangu. Huna sababu ya kumjibu huyu jamaa kwasababu ni mamluki wa ccm waliotumwa na msekwa humu jf. Hafahamu madiwani wapo wangapi na forum ili itimie inahijajika idadi gani. Anatumiwa na anatumika vibaya!.
   
 17. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hawa si ndio wale madiwani ambao kwenye kikao cha bajeti walikuja wakasaini majina yao kuwa wapo kikaoni, halafu wakatoka wakati kikao kinaendelea , kilipokwisha jamaa wakaja kuchukua posho zao hao wakasepa . Nyie mnadhania mmechagua watu kumbe viatu, hasara yenu hiyo wana arusha
   
 18. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2011
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu kabla hujajenga hoja fanya utafiti, column kwenye vikao vya madiwani haitimii kwa kucalculate percentage ya waliohudhuria, kolam inaangalia ni sehemu ngapi ya wajumbe imehudhuria na kwa hili la madiwani inatakiwa zaidi ya theluthi 2 yaani zaidi ya mbili ya tatu ya wajumbe au kwa lugha ya hisabati >2/3 ya wajumbe sasa kwa idadi ya madiwani wa Arusha madiwani 16 wa CDM wasipohudhuria kikao kinakuwa na CCM madiwani 17, TLP 1 jumla ni 18 sasa kwa hesabu zako 18 ni sehemu ngapi ya 34?. Halafu sema hiyo kolamu imetimiaje!
   
 19. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  enough ni jinga sana halina akili linajaza thread za kipuuzi hapa sjui mod huyu mnamuonaje anakidhi kweli matakwa au mmelala anajaza server bure mtu mzima hovyo
   
 20. F

  Froida JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Tupo na wapiganaji wetu najua CCM munapindisha sheria mukidhani wanaArusha tutachoka kawaambie tumedhamiria hakuna haki yetu itakayoporwa,Meya feki,bini meya kubambikizwa,bini meya mfumo dhuruma Arusha hakai na hatakaa mpaka uchaguzi urudiwe kwa namna yeyote ile hatutakubali haki yetu kuzikwa
   
Loading...