JK anachukia Rushwa?

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
''Rushwa ni adui wa haki. Tunamtaka rais ambaye atalitambua hilo na ataichukia rushwa hata ukimuangalia anaonyesha kweli anaiichukia rushwa, sio rais ambaye anayesema kweli rushwa ni adui wa haki akini ukimuangalia usoni unashangaa na kusema.... aaaah kweli huyu?'' by Mwalimu Nyerere

JK anachukia Rushwa?
 
Fedha si msingi wa maendeleo, ili tuendelee tunahitaji vitu vinne, watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora –Nyerere

Yaani hapa nasoma kitabu cha huyu mzee, kwa kweli kama viongozi wetu wangeishi nusu tu ya yale aliyokuwa anayasisitiza, basi leo tusingekua tunateseka hivi, Watu Tunao, Ardhi tunayo kubwa tu, tatizo letu sasa ni UONGOZI BORA na SIASA SAFI, viongozi wetu ndio mafisadi wakuu, siasa yetu ndio hiyo tena ya maji taka
 
all because of ccm thieves
'kujivua gamba'!!!!!!!!!!
rudisheni hela mlizoiba kwanza ndo muendelee na uongo mwingine
wanagawana rasilimali na hela za wananchi kama za ukoo!!!!!!!
kama amani huja kwa ajili ya wanyonywaji 'wananchi' kuvumilia wanyonyaji 'ccm' kuendelea kuwanyonya basi mwisho wa dunia umekaribia
'kujivua gamba'!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ushauri wangu kwa wananchi "msidanganyike" waambieni warudishe hela walizoiba alafu watende haki
'kujivua gamba' "stupid idea"
 
''sio rais ambaye anasema kweli rushwa ni adui wa haki lakini ukimuangalia usoni unashangaa na kusema.... aaaah kweli huyu?''

My Take:
Rais anatakiwa achukie rushwa kwa kiwango ambacho wote tutaona, Kwa kiwango ambacho hataitaji katibu mwenezi wa chama kuzunguka nchi nzima kumtetea, kwa kiwango ambacho kila mtanzania bila hata kushawishiwa na afisa habari wa ikulu atajua tu kweli Rais wangu anachukia Rushwa, yaani Rais kuchukia rushwa ni vitendo zaidi na sio kampeni kwenye magazeti, jingo za kwenye redio na matangazo ya TV.....yaani kama Nyerere tu
 
''rushwa ni adui wa haki. Tunamtaka rais ambaye atalitambua hilo na ataichukia rushwa hata ukimuangalia anaonyesha kweli anaiichukia rushwa, sio rais ambaye anayesema kweli rushwa ni adui wa haki akini ukimuangalia usoni unashangaa na kusema.... Aaaah kweli huyu?'' by mwalimu nyerere

jk anachukia rushwa?
jk rushwa au rushwa jk ni kitu kilekile atapiganaje na rushwa?!!!!!!
 
Kikwete akiichukia rushwa atakuwa anajichukia mwenyewe
NazJaz, unajaribu kusema JK anachukia Rushwa kwa maneno lakini vitendo vyake havionyeshi hayo ndiyo maana inambidi NAPE kwenye mikutano alazimishe watanzania kuamini kuwa JK ni msafi? Hivi mbona sijawahi kusikia kwenye mikutano watu wako busy kumsafisha Nyerere?
 
Huyu Raisi amekua kama mchele unaopetwa kwenye ungo,unakwenda popote ungo unapoamua,amekua mdandiaji wa mashwala ya msingi bila kupima uzito na muelekeo wake...anasubiri watu wenye akili zao wazungumze na yeye akurupuke kutoa maamuzi..
Rushwa imemjaa hadi kwenye mishipa ya damu ataichukia vipi? aichukie umuue?!!
Anayoyafanya kwa sasa ni kwa sababu tu watu wanayazungumza na wala si akili yake...He is just talking like shit...too much blaa,blaa,blaaa!
 
''Rushwa ni adui wa haki. Tunamtaka rais ambaye atalitambua hilo na ataichukia rushwa hata ukimuangalia anaonyesha kweli anaiichukia rushwa, sio rais ambaye anayesema kweli rushwa ni adui wa haki akini ukimuangalia usoni unashangaa na kusema.... aaaah kweli huyu?'' by Mwalimu Nyerere

JK anachukia Rushwa?
endelea kubaki na huyo babu yako nyerere. kila kitu nyerere. Akhhhhh.
njo na story nyingine achana na pumba zako hizo. miaka 25 madarakani watu wenye degree 3000 out of mil 30 population. ujinga.
 
Hii topic haina mwelekeo. Sote tunamjua JK.
IPTL-JK
Madini-JK
Richmond-JK
Dowans-JK
Stimulus Package-JK
EPA-JK
Kama hizi kashfa za ufisadi zingekuwa hazimgusi JK, na kuwa yamefanywa na wengine tungejadili.
 
hii topic haina mwelekeo. Sote tunamjua jk.
Iptl-jk
madini-jk
richmond-jk
dowans-jk
stimulus package-jk
epa-jk
kama hizi kashfa za ufisadi zingekuwa hazimgusi jk, na kuwa yamefanywa na wengine tungejadili.


unajaribu kusema wote tunajua jibu?
 
endelea kubaki na huyo babu yako nyerere. kila kitu nyerere. Akhhhhh.
njo na story nyingine achana na pumba zako hizo. miaka 25 madarakani watu wenye degree 3000 out of mil 30 population. ujinga.

siachi ujinga huu hadi nitakapoanza kupata thamani ya kodi yangu, haiwezekani kodi yangu ikajenge mahekalu chalinze bibi angu anatembea kilometa saba kuchota ndoo moja ya maji
 
Back
Top Bottom