Imekua kwa kazi kwa wabunge kama ilivyo kwa wnegi wengi kutaja mishahara yetu. hIlo tunaweza kuliewa.
Sasa kuna hii mifuko ya jimbo amabayo inasimamiwa na wabunge.
Je ni wabunge wangapi...
Nape Nauye katibu wa itikadi na uenezi wa halmashauri kuu ya CCM,anaonekana anataka kukifariji chama chake na hata mafisadi waliomo katka chama chake kwa kuanza kukurupuka kutoa hoja zisizo na...
DK SLAA ASEMA "Pinda, kwa siku moja akiwa kule bungeni hupata posho ya Sh200,000 ambayo inazidi mshahara wa mwezi mmoja wa mwalimu, hata polisi anayelinda usalama wenu,
Dk Slaa aliyekuwa mgombea...
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe alisema atamthibitishia bungeni, Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo kuwa Serikali imefilisika.Zitto alisema jana mjini Sumbawanga kuwa wataweka hadharani...
Kama kweli unaipenda nchi yako basi utatoa maoni yako ya chanya na si hasi
sababu za ccm kufika ukoomo wa kuongoza nchi ni:-
a) mosi ccm kama chama kiweruhusu na kuwakumbatia viongozi ambao...
hapa na copy kauli ya nape kwenye wall page- face book
"WalIodai barua za watuhumiwa wa afisadi zisingetoka...... Aibu kwao sasa.... Ooh hawawezi kutoa....haya sasa"
source: Face book...
NAPE niamfananisha na mtetea ambaye anajaribu kushindana na jogoo(Dr.) kupaza sauti.Kwa mtazamo wangu mtetea hawezi kushinda hata akipanda juu ya paa la nyumba ya mfugaji wake.
Uwezo na ufahamu wa...
Barrick kuanzisha mgodi mpya Mwakitolyo Send to a friend Wednesday, 11 May 2011 20:13
Zulfa Mfinanga,
Shinyanga
KAMPUNI ya African Barrick Gold Mine, ina mpango wa kuanzisha mgodi mwingine wa...
Nasikitikia wakazi wa Ukonga hasa wanaopitia barabara inayoanzia Mombasa kuelekea moshi bar hadi kwa Mkolemba maana barabara ni mbovu sijawahi ona pamoja na kuwa serikari imekuwa ikivuna kodi...
wanamaendeleo nawasalim,
jamani 2015 sio mbli hata kidogo.hvi kuna mikakati gani ya kuhakikisha chadema tunachukua nchi.
nazungumzia kichama. achaa na mabadiliko ya katiba tunayopigania, na...
Wabunge Chadema wageuka mbogo Send to a friend Wednesday, 11 May 2011 21:27
Boniface Meena, Kwela
WABUNGE wawili wa Chadema jana walikuwa mbogo baada ya kufanya ziara katika Kijiji cha Lusaka...
Dr slaa ameibua ufisadi ktk shule za msingi akihutubia katika mkutano wake mkoani Ruvuma jana alidai kuwa michango ya madawati inachangishwa kila mwaka kwa wanafunzi je ni lini madawati...
Sijuti kugombea kiti cha urais Tanzania, Bali namshukuru Mungu kuniwezesha kufanya hivyo. Mungu ni HAKI tupu na ndani yake hakuna hata chembe ya udhalimu. Hatuwezi kudai...
Bado na jiuliza hivi huyu mwanasiasa Nape Nnauye ni mahiri kuliko wakongwe aliowakuta ccm??Hivi nikisa gani leo atakuja nacho chakumlipua Dr (Phd) W.Slaa??Dr Slaa nikashifa zipi anazo zitakazo...
Nikitambo sana tangu kuandika hapa kwenye JF, the reason behind is the forum became sold out.However, leo nimeamua kuandika kwa nini Kinondoni wamchague Mpoki Mwambulukutu.
Kwanza compare na...
Wakuu wanaJF,
Salaamz,
Najua tumeshasema sana kuhusiana na utendaji kazi mbaya wa rais wetu, lakini kwa mambo anayoendelea kufanya (pamoja na kusemwa sana) naanza kuhisi ana matatizo makubwa zaidi...
Zanzibar wameanza maandalizi ya kutoa mchango, na watafutwe wanasheria wakubwa wawatetee Wazanzibari waliowachomea maduka na nyumba zao na mabanda ya kulala Watanganyika.
Kwani hili...
na Asha Bani
MHADHIRI mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustine, Profesa Mwesiga Baregu, na wanaharakati wengine wamemjia juu Rais Jakaya Kikwete wakimtaka kujiuzulu kutokana na kushindwa...
Sita mahakamani kwa kuharibu mali
Posted on May 11, 2011 by zanzibaryetu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein serikali yake inakabiliwa na changamoto...