Barrick kuanzisha mgodi mpya Mwakitolyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barrick kuanzisha mgodi mpya Mwakitolyo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tasia I, May 12, 2011.

 1. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Barrick kuanzisha mgodi mpya Mwakitolyo Send to a friend Wednesday, 11 May 2011 20:13

  Zulfa Mfinanga,
  Shinyanga
  KAMPUNI ya African Barrick Gold Mine, ina mpango wa kuanzisha mgodi mwingine wa dhahabu katika Kata ya Mwakitolyo, mkoani Shinyanga mapema mwakani.


  Mgodi huo utakajulikana kwa jina la Golden Ridge Project.Akizungumza na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga juzi, Meneja wa Uhusiano wa kampuni hiyo, Philbert Rweyemamu, alisema utafiti uliofanyika katika eneo hilo, umethibitisha kuwapo kwa dhahabu ya kutosha kuanzishwa kwa mgodi.

  Alisema kwa sasa, kampuni inafanya tathmini kuhusu athari kimazingira na jamii na kwamba hatua hiyo inawashirikisha wananchi watakaohamishwa ili kupisha mradi huo.Alisema ushirikishwaji wa wananchi hao, unafanyika kupitia katika kamati mbadala inayongozwa na Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya hiyo.

  Kwa mujibu wa Rweyemamu, kamati hiyo pia inajumuisha wawakilishi wa wananchi wa eneo hilo, wawakilishi wa kampuni na wakuu wa idara mbalimbali za serikali.
  "Kama utaratibu huu utasimamiwa na kutekelezwa vizuri, nina imani kikubwa kuwa utaondoa malalamiko ya wananchi kuhusu fidia, kwa sababu wananchi watashirikishwa ipaswavyo katika kila hatua,"alisema Rweyemamu
  Akizungumza kwa niaba ya madiwani, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, Amos Mshandete, alisema ziara hiyo itawasaidia kujifunza mambo mazuri yaliyofanywa katika uanzishaji wa mgodi wa Buzwagi.

  Alisema kitendo hicho kitawasaidia madiwani kupata uelewa wa shughuli za mgodi na hatimaye kushiriki kikamilifu katika kusimamia uanzishwaji wa mgodi huo mpya, jambo ambalo litapunguza kero za wananchi.

  "Kwa kweli tumepata picha nzuri itakayotusaidia katika kuanzishwa kwa mgodi wa Mwakitolyo utakaoanza kazi hivi karibuni," alisema Mshandete.Mgodi wa Mwakitolyo, upo umbali wa kilometa 100 Kusini mwa Jiji la Mwanza na kilometa 30 kusini Mashariki mwa mgodi wa Bulyanhulu.  source ni gazeti la mwananchi la leo tarehe 12 May 2011.

  Jama me nilidhani angalau serikali imesikia kilio ca wananchi lakini kumbe ndo wanza inazidi kuachia rasilimali kama hizi zizzidi kupotea.

  nachojiuliza ni9 kua je kuna mabadiliko angalau katika mkataba utakao tumika hapa au ni ile ile ya 3%??
  Hivi sisi wananch kama wamiliki halali kabisa wa hizi rasilimali tunaweza kuchukua hatua gani kupinga na kuhakikisha hikli halitokei kama hakuna benefiti za uhakika kwetu??

  ni mawazo tu, nipe ya kwako ila kwa kweli it pains.
   
 2. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mungu wangu, hawajatosheka tu?

  mkataba utakuwa mpya, au uleule tuaoulilia kila siku wenye mrahaba wa 3%?

  mmmh, nahisi nimepata homa!
   
 3. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Shamba la bibi linaendelea kuvunwa kama kawa!
   
 4. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Ndiyo,


  Tanzania ni shamba la bibi.Acha waendelee kuzichota hizo dhahabu na baada ya miaka michache Tanzania itakuwa imebakia mashimo matupu. Nina maswali kwake JK na Serikali ya Magamba:
  1. Hivi Serikali ya Magamba mpaka sasa hawawezi kuanzisha Kampuni ya Serikali ya Kuchimba madini yetu?
  2. Bado tu hamjapata wataalamu wa kufanya kazi za uchimbaji wa Madini?
  3. Mbona Baba wa Taifa(RIP) alisema tuyaache haya madini mpaka tutakapopata wataalamu wetu wenyewe maana hayaozi?
  4. Wanangoja nini kubadilisha mikataba ya Madini kwa kugawana na mwekezaji kwa mtindo wa win to win situation kwa maana ya kuwa na hisa 50% kwa 50%?
  Tumechoka kuibiwa,hakika kuna siku watoto wetu watakuja kupiga makaburi ya kina Mkapa,Mwinyi,Kiwete,Lowassa na wengineo.

  Nji hii bwana!!
   
 5. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  yakishabaki mashimo pekee nchi nzima, ndio wataondoka!
   
 6. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wataalamu tupo
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  May 12, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Kila mara mgodi unapoanza una-sign dev agreement yake hivyo huu utakuwa na mkataba tofauti. Sasa ni jukumu la serikali yetu kuwa makini kubana kampuni. Tatizo kubwa la mikataba ya TZ ya madini ni kuwa Dev Agmt ina-overide Mining Code. Its a worst case scenario nadhani duniani na ukihudhuria mikutano ya madini nje ya TZ kati ya mifano mibaya kabisa kutolewa huwa ni pamoja na huu. Kama nina identification ya TZ huwa natamani kuivua maana watu wanakuzunguka kutaka kujua how can this happen and still work.
  Lakini private lawyers wa Africa wana umoja wao ambao wamejitolea kuandaa draft ya mikataba na kuipost kwenye website yao kwa nchi zingine kuweza kupata base ya kuanzia na kurekebisha watakavyo kwa ajili ya manufaa yao.
  Kama kawaida serikali ya TZ iliwakilishwa na WZ wao sijui hata kama ali-note hiyo link au kama hata aliisikia badala ya kuwakilishwa na watendaji.
   
 8. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #8
  May 12, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tatizo kubwa hapa lipo kwenye utaratibu wa kupata hayo makampuni ya uchimbaji, kwanini serikali isiweke utaratibu wa ushindani inatangazwa na makampuni yanaomba na kila mmoja anatoa offer yake anayetoa offer kubwa yenye manufaa kwa nchi ndio anashinda na kuingia mkataba kama kiwango cha offer ndio hizi 3% ni bora waache ili wananchi waendelee kuchimba na kufaidi matunda ya nchi yao. TUMECHOKA KUIBIWA na kulaghaiwa na wanamagamba kwamba madini yanakuza uchumi wakati serikali mpaka inakwenda kukopa benki binafsi
   
 9. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #9
  May 12, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  wataalam wapo jamani wengi tu.
  halaf hata kama tuseme hawapo, hii ni biashara, kma katika sejta nyingine tuna wanunu ma expert kwa ni i tusiwanunue katika hii waktuchimbia.

  Gold ni kati ya madini ghali mnooo duniani.
  data nilizonazo za kamkpuni moja ya uchimbaji hapa kwetu nchini nikua katika kila tani 1 ya ore(mchanga) hua kuna 2-3 grams za gold.
  sasa imagine how huge the operations za kufikia katika finished product zilivyo lakini bado hawa jamaa wanapiga faida kubwa mno.

  Ore moja inazalishwa kwa dola za marekani 300na kuuzwa kw dola hyo ya marekani 1000-1500 (kwa mujib wa tovuti ya kampuni hyo). hii ni extra ordinary super profit.

  Wataalam zaidi wafanye uchunguizi watuambie mitambo ya uchimbaji, kuinunua, usafirisha, kui-assemble, na kuanza shughuli za uchimbaji (ofkoz baada ya exploration na maandalizi yote crucial) inahitaji gharama gani mpaka serikai kushindwa hii kitu.

  Then serikali ikope, iwakodi ma exparts wachahche (wengi wapo locally) na tufanye hii biznez on our own.
   
 10. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #10
  May 12, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  naombeni wanasheria mnijib, hakuna hatua tunazoweza kuchukua sisi kama wananchi kupinga swala kama hili na mengin yafananayo na hili??

  kwa mantiki ya kkua sisi ndo wamiliki na wenye haki kuu kuliko mtu mwingine yeyote katika haya.

  Kihistoria tulisoma kua kulikua na passive na active resistance kwa wakoloni kipindi kile.
  Passive kwa sas ni kama watu wa nyamongo walivyo vamia mgodi wa north mara hivi majuzi (nawakubali sana wale jamaa).
  kama wanasiasa na viongozi wetu wameshindwa kututetea/wametusaliti kwa nini tusia chukue hatua wenyewe??
   
 11. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #11
  May 12, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,900
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Hivi watachimba kwa kutumia sheria mpya au ya zamani ambayo inaruhusu misamaha ya kodi kibao........huku wakilipa 3% ya mrabaha...
   
 12. i411

  i411 JF-Expert Member

  #12
  May 12, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  hivi ndo shinyanga itabakia [​IMG]
  [​IMG]
   
 13. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #13
  May 12, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,900
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Du hili ni janga...... Kwa hiyo hakuna hata provision kwenye sheria au hata kwenye mkataba ambayo inahitaji huyu mchimbaji ku-reclaim the land after the project.....maana kama ni hivyo basi tutegemee kuwa na mashimo na mahandaki yasiyo na idadi.........
   
 14. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #14
  May 12, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mi huwa napata hasira kweli
   
 15. Gold Digger

  Gold Digger Member

  #15
  May 12, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani mradi unaozungumwa hapa ni wa Golden Ridge, maelezo yaliopo kwenye tovuti ya www.africanbarrickgold.com ni kama ifuatvyo;

  The Golden Ridge exploration prospect is located in northwest Tanzania, in the district of Kahama, in the Shinyanga region. The prospect covers approximately 1,600 hectares and is located approximately 50 kilometres north of the Buzwagi gold mine and 34 kilometres southeast of the Bulyanhulu gold mine.

  Drilling and metallurgical test work will continue at Golden Ridge, and exploration work will likely target a new discovery or satellite deposits in the Golden Ridge area. The ABG Group believes that value can be best optimised by processing Golden Ridge's ore at other ABG Group mines.
   
 16. Gold Digger

  Gold Digger Member

  #16
  May 12, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usidanganyike...Sheria yetu mpya ya Mining ya 2010 meets many of the international standards including a clause and a set regulations specifically on mine closure. However implementation of these regulations kama unavyojua ni issue tofauti kabisa. Pili mining siyo lazma iache mashimo kama hayo, it depends on the type of mine (open cast au underground) and that is determined by the ore body.
   
 17. Gold Digger

  Gold Digger Member

  #17
  May 12, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ALL new mining development agreements(MDA's) will be issued under the new mining act of 2010.

  The new Act is more restrictive than its predecessor and is consistent with other recent legislation which seeks to concentrate a greater interest in the hands of Tanzanian nationals with increased regulation in key sectors whilst continuing to encourage inward investment.

  Some of the publicly expressed concerns were due to the restrictions contained in the Initial Reading (such as reservation of mineral rights and licenses for dealing in minerals being reserved to Tanzanian citizens and corporate bodies under the exclusive control of Tanzanian citizens) which were subsequently relaxed by the provisions of the Amendments. However, the Act materially increase the levels of royalty payable to the GOT and places restrictions on non-Tanzanian participation in small scale mining, dealing in minerals and gemstone operations.

  There are concerns within the industry that the restrictions will have a negative impact on the Tanzanian mining industry both in terms of its competitiveness and as a magnet for foreign investment. However with a rising gold price I think these fears have been allayed.


  Key provisions of the 2010 Mining Act that are worth noting;

  The Act will introduce significant changes to mining policy, in particular the following.
  (a)

  Mineral rights and licenses for dealing in minerals will be reserved exclusively to Tanzanian citizens and corporate bodies under the exclusive control of Tanzanian citizens. It has been said that agreements/licences currently in force with non Tanzanian controlled mining companies remain unchanged but there is no clear "grandfathering" provision on this. The main point to note, however, is that the Amendments significantly mitigated the Tanzanian control issue in respect of general mining licences, and the restrictions will apply only to "primary mining licences", which are licences with respect to small scale mining operations involving capital expenditure of less than US $100,000. (Section 8 and Section 73)
  (b)

  Licences to mine for gemstones are only to be granted to Tanzanians, regardless of the size of the operation, except where the Minister determines that the development is most likely to require specialised skills, technology or a high level of investment in which case the licence may be granted to an applicant so long as the non- Tanzanian participation element is no more than 50% (Section 8(4)).
  (c)

  The Act gives the Minister power to prescribe a standard model form Mining Development Agreement for all projects exceeding US $100m. So far as we are aware no standard form has yet been prescribed. (Section 8(4))
  (d)

  The Act gives the Minister power to make regulations authorising the GOT to participate in the conduct and financing of mining operations and give the GOT a free carried interest, the level of which is not set by statute but rather by negotiation between the GOT and the relevant mineral rights holder (Section 10).
  (e)

  It amends the method by which GOT royalties are calculated so that they will in future be levied on the gross value of minerals, rather than the present method of calculation which refers to the net value (Section 87).
  (f)

  It increases the rates of royalties levied by the GOT on the gross value of minerals as follows:
  1. uranium – 5%
  2. gemstone and diamond – 5%
  3. metallic minerals (copper, gold, silver, and platinum group) – 4%
  4. gem – 1%
  5. in the case of other minerals, including building materials, salt, all minerals within the industrial minerals group – 3%. (Section 87)
  (g)

  Although some writers have asserted that the Act imposes an obligation for mining companies to list on the Dar es Salaam Stock Exchange, whilst the Act does refer to the Minister having the right to make regulations relating to a public offering, provisions for doing so are not contained within the Act itself. (Section 109)
  (h)

  The Act requires a greater degree of disclosure by the holders of mineral rights in respect of reports, records and general information. (Section 100 and Second Schedule)
  Arguably the changes to be introduced by the Act will consequentially affect Tanzanian's ability to attract foreign direct investment and indeed some of the provisions may reduce its competitiveness. However, if sector participants take a holistic view as to the mining investment parameters (including by reference to not only royalties levied but also income tax rates, withholding tax rates, capital deduction allowances, the right to carry forward losses and import / custom duties) as against Tanzania's regional competitors, Tanzania is relatively comparable in its investment regime.
   
Loading...