Mtetea kushindana na jogoo kupaza sauti je nani mshindi????????????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtetea kushindana na jogoo kupaza sauti je nani mshindi?????????????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bakuza, May 12, 2011.

 1. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  NAPE niamfananisha na mtetea ambaye anajaribu kushindana na jogoo(Dr.) kupaza sauti.Kwa mtazamo wangu mtetea hawezi kushinda hata akipanda juu ya paa la nyumba ya mfugaji wake.
  Uwezo na ufahamu wa wa mambo wa kijana huyu ni mdogo kama punje ya haradali ukilinganisha na Dr.Slaa.Kama anajaribu kuzungumzia 7mll za mshahara wa Slaa kuwa ni ufisadi bila kuangalia mishahara ya wale wanaolala hovyo pale mjengoni pamoja na 900ml ati endeleza jimbo ongeza 90ml ati za kununulia gari,nadhani atakuwa ametumwa na Mafisadi Papa baada ya kugundua uelewa wake ni nusu kijiko cha hai.Ningemshauli asome nyakati au arudi shule ya hesabu ili aweze kutofautisha wingi wa pesa na maana ya ufisadi, maana naona anaelekea kufata nyayo za mzimu wa Makambaa wa kujifunga mwenyewe kamba asizoweza kufungua.
  Nisaidieni wana jf mwamuonaje kijana huyu.:pound::pound::pound::smow:
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mwisho wa siku jogoo akipata hamu anakimbiza kidogo kitu kinaeleweka.patamu hapooo
   
Loading...