Zanzibar Kupongeza wachomaji, Wasaidiwe washinde kesi, Mashujaa wa Muhanga! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar Kupongeza wachomaji, Wasaidiwe washinde kesi, Mashujaa wa Muhanga!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pharaoh, May 9, 2011.

 1. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Zanzibar wameanza maandalizi ya kutoa mchango, na watafutwe wanasheria wakubwa wawatetee Wazanzibari waliowachomea maduka na nyumba zao na mabanda ya kulala Watanganyika.

  Kwani hili lilijulikana kuwa litafanywa na watu wa kawaida, na maafisa wa wilaya waliwataarifu hao wabara kuwa wasiwapige hao wazanzibari wakija kuwachomea, labda walijua kuwa mayakhe kupigana hawajui.

  Wao ni sawa na watoto, wametimiza wanayoyasikia kwa wakubwa wao, na ndio maana viongozi wote wa Zanzibar mpaka walioko serikali ya Bara wanachekelea shavu.

  Ikumbukwe ni serikali ya Nahodha na Karume iliyochochea chuki nyingi dhidi ya Tanganyika, japo wanaenda mwendo wa kubonyeza kwanza.

  Kikwete hawezi kusema kitu kwa Wazanzibari, na inasemekana katika mzalendo.net kuwa JK yupo upande wa Zanzibar kivyovyote, ndio waliomtuma tangu mwanzo.

  Hebu kumbukeni, Kikwete ameanzia siasa Zanzibar, ni wa Bagamoyo na Mwislamu, na kama kawaida Muislam wa Bagamoyo hawezi jisia ndugu wa Mmasai wa Monduli kuliko mwislamu mwenzake na jirani na mvuvi mwenzake wa Zanzibar.

  Rais mwinyi alifanya kila jitihada amwachie madaraka huyu kanali, baada ya kumpachika katika wizara nyeti ya nje hata kama alikuwa hana uzoefu wowote.

  Zanzibar anakwenda kila mwezi kama sio kila wiki, na husikii akitoa maelekezo kama kweli yeye ndie bosi.

  Tuchukulie mfano wa CUF lipumba ndio bosi wa CUF lakini akifika Zanzibar kumwona Maalim Seif anakaa foleni kama wengine, na ofisini anakaa pembeni, hilo linajulikana Maalim ndie bosi wa Lipumba hata kama yeye ndie mwenyekiti, ndivyo hivyo JK.

  Mi naona Tanganyika imeuzwa, hapa nikiandika Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi ya Zanzibar yupo Uingereza, kwa jina lingine wanamwita Mkurugenzi wa Mambo ya Nje, lakini tukumbuke hata wa fedha aliitwa hivyo kwanza.

  Vilevile waziri wa Ulinzi wa Zanzibar aliitwa hivyo kwanza, sasa ni Waziri wa Vikosi vya SMZ. sasa moto unaendelea kuwateketeza Watanganyika, na wengine wenye vijiduka mjini wameshatumiwa onyo waondoke wenyewe, na sidhani kama itafika wiki nao hawajachomewa.

  TANGANYIKA IMEPINDULIWA tena mapinduzi baridi, Mkuu wetu Kikwete anacheka tu, au na sisi wananchi wa Tanganyika tuanze vita baridi? Huyo Mpemba anayewaharibu kisha kuuwa wake za watu ameamua mwenyewe au nae ametumwa?

  Tafuteni kwenye blogs zao mtapata jibu, au hata sisi wananchi hatuwezi kuwashikisha adabu? Tuwaruhusu watufanyie mifano yao ya ushoga? Ya kubonyeza kwanza, hata kama kimya unazama?

  Natumia mfano huu kwa sababu wenyewe wazenji wanakiri kuwa wao wote mpaka waliowa bado wanafanya na wanaume wenzao, hata wakubwa kwani ni utamaduni wa tangu alipofika mwarabu..
   
 2. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nikapate lunch kwanza ndo nije nicomment.
   
 3. m

  mkulimamwema Senior Member

  #3
  May 9, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umekosa hoja zenye nguvu analalamika bila kueleza uliyoandika kwenye thread yako
   
 4. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,187
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Muandishi mwinyi sio mzanzibari,,amezaliwa kisarawe angalia cv yake kama hujui,ila zanzbar kaja kalelewa tu kama vile wapemba wanavyoishi kariako na familia zao utasema kuwa ho ni wabara ?

  Suala la kuchomewa waduka moto,inatokana na watu kuchoka katika hilo eneo imekuwa kero hawalali,udanguro umezidi uchafunzi wa maringira,pia na jazba za muungano,hio wametumia kama ni messege kwa serikali kuonyesha hisia zao wazanzbar kuwa wamechoka na muungano ikiwa Samia suluhu hajawambia na anakanusha riport alokuja kuchukua juu ya katiba mpya,pia samueli Sita Aliambiwa na Mzee Nassor Moyo ambaye pia alikuwa waziwi mwaka 1964 wakati kabla ya muungano na lishuhudia muungano lakini anajua fika juu ya kiini cha muungano alitamka haya kwa samueli sita

  ITS over MUNGANO. View attachment 29695
   
 5. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Haina haja ya kumtukana waziri Sitta alipokuja Zanzibar, kwani bosi wake ni Kikwete, na nyinyi wenyewe mnasema Kikwete yupo upande wenu, sasa Tanganyika tumebaki yatima
   
 6. Mazee

  Mazee Senior Member

  #6
  May 9, 2011
  Joined: Dec 6, 2007
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mhh hiyo meseji imepelekwa kikatili kwa nini wasichome moto viongozi wao eti ndugu yangu? Mi nafikiri tuache ushabiki imagine hawa wabara waanze kuchoma mali za wapemba kuanzia kkoo hadi mikoani kote ..
   
 7. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,042
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  MADUKA YAKIANZA CHOMWA....KUNA FAMILIA ZANZIBAR HAITAGUSWA?
  busara itumike
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  for a good sake .... kila mtu afunge biashara zake na arudi katika upande wake wa muungano ...... naomba nijuzwe nani atakaye athirika....?
   
 9. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Sasa hawa ndugu zetu wanalalamika hakuna maendeleo wakati wanachoma maduka ya wafanyabiashara. Wafanyabiashara wadogo ndio wanaleta maendeleo ya nchi yeyote duniani.
   
 10. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  WABARA ndio NINI?
  View attachment 29710
   
 11. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Naam nafikiri tuwaonyeshe adabu kidogo hawa sasa wamezidi dharau, dada zetu wanawabaka, wakienda polisi znz wanachekwa kama sio kubakwa tena, kila mwezi kuna mtu wa bara anauwawa znz japo hatuambiwi, kuna asilimia mpaka sasa 95 kuwa muuwaji na kageuza wanawake wa Tanganyika ni mpemba na anafanya kwa kumalizia hasira zake za chuki za watanganyika, hao wachomaji walitumwa rasmi, na viongozi wa serikali wamepiga simu kuwa wakifika msiwafanye chochote, kama hatuna serikali Tanganyika hebu tuanze umafia wa kweli... sote wanaume
   
 12. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #12
  May 9, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hatutavumila kabisa hii chokochoko. Nyie wala mapembe naona sasa mnataka tuwaonyeshe kwamba nyie ni mkoa na wala siyo nchi kama mnavyojidaganya.
   
 13. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #13
  May 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wabara tumezidi ukondoo, ni hayo.
   
 14. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #14
  May 9, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wapemba ni watu gani Mkuu?

  Hivyo vibanda vimechomwa moto Pwani Mchangani, Mkoa wa Kaskazini Unguja, Wapemba wanahusika kivipi?

  Au ndio zile propaganda za watawala wetu CCM hizo?
   
 15. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #15
  May 9, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Ushahidi?
   
 16. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,187
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
 17. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #17
  May 9, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,187
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Tulishawatumia ujumbe kuwa wazanzibari wote waliko bara warudi kwao na wabunge wadai talaka yao waruzi zanzbar sasa mukiwachomea moto hapo sijui,wazanzbari wanatekeleza azma yao kwa sababu viongozi wameshindwa kuwatekelezea,hamutaki tujadili muungano basi mutarudi kwenu huko bara,,,