Mbinu mkakati za kuingoa ccm uchaguzi wa 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbinu mkakati za kuingoa ccm uchaguzi wa 2015

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by JUST, May 12, 2011.

 1. JUST

  JUST JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Kama kweli unaipenda nchi yako basi utatoa maoni yako ya chanya na si hasi

  sababu za ccm kufika ukoomo wa kuongoza nchi ni:-

  a) mosi ccm kama chama kiweruhusu na kuwakumbatia viongozi ambao sio wazalendo na wasio na uchungu na maisha ya mtanzania wa hali ya chini.

  B)pili ccm kimekua ni chama kilichotupa ahadi za matumaini kwa muda mrefu ili hali mabadiliko hatuoni zaidi ya kuendelea kupata shida.

  C) tatu ccm ni chama kinachounganisha serikali na chama, hili linajionyesha kwa matendo ya viongozi wa kichama kuwa na maamuzi yanayoendana na serikali katika utekelezaji wa kazi zao. Athari yake ndio ufisadi na mengineo mengi ikiwemo unyanyasaji wananchi.

  D) nne ccm imeongoza kwa miaka 50 imebakiza miaka mitano ya umri wa mfayakazi kustaafu kwa hiari, hivyo nadhani na wao ni muda wa kupumzika kustaafu sio tu kwa hiari bali kwa manufaa ya uma.
  E) tano ccm haina ridhaa ya wanchi kwa sababu takwimu zinaonyesha ccm imeweza kupata wanachama milioni 5 kati ya watanzania milioni 40 ndani ya miaka hamsini. Hii ni fedheha kwa sababu watanzania milioni 15 wenye uwezo wa kupiga kura na kuwa wanachama hai hawakipendi.

  2.mbinu makakti wa kukiondoa ccm madarakani kwa halali

  a) moja, safari ya uchaguzi 2015 inaanza sasa kwa hiyo tufanye shughuli zetu tukiangalia kama hiki chama bado kinaweza. Na kama hakiwezi hakuna sababu ya kuendelea nacho.
  B) pili, kila unapokaa na wale tunaosema wamekosa fursa ya elimu waelezee kiufasaa na kwa lugha adilifu mambo ambayo viongozi wa ccm wanafanya na madhaufra yake kwake na kwa taifa kwa ujumla.
  C) tatu, viongozi wetu wa dini zetu wote waeleze ukweli waumini wao kwamba chama kilichopo madarakani kimepoteza dira na hivyo tutafute mbadala kwa manufaa ya wananchi. Kazi ya kuchunga kondoo wa bwana ni pamoja na maadili ya viongozi wa serikali.

  D) naomba mwenye mbinu zaidi achangie kwa pamoja tutaweza.
   
 2. s

  sativa saligogo Senior Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BRAVO!!!!
  Ngoma ikilia sana mwisho hupasuka!!! Wakati umefika mwenye macho haambiwi taz na mwenye masikio je!!! Mbinu nyingine muhimu ni kuhakikisha viongozi wote wa kijamii hasa ktk maeneo ya vijijini,kata,tarafa na wilaya wasiwe chama tawala!!! Yaani upinzani ujikte zaidi huko usibakie mijini tu, sababu huwezi kuwa na matawi kabla ya kuimarisha mizizi!! Tambua ccm wana wajumbe wa shina -cell leaders ambao ndiyo hutumika kumwaga sumu za nyumba kwa nyumba,chumba kwa chumba nk hilisi jambo la kubeza!!! TAKE NOTE!! approach ya waumini na nyumba za ibada si jambo muafaka!!! Always zingatia mwenye njaa hana itikadi!!! Kimsingi mbinu mkakati kama hizi si za kujificha kwani, You do you know you hear you forget!!

  WAKATI UMEFIKA WA MITI KUSEMA NA WANYAMA KUWA WATU111
  (adili na nduguze unakumbuka!!!-Be what you are know who you are???? Be blessed !!!
   
Loading...