Mkakati wa chadema wakuichukua hii nchi 2015?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkakati wa chadema wakuichukua hii nchi 2015??

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Tasia I, May 12, 2011.

 1. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  wanamaendeleo nawasalim,
  jamani 2015 sio mbli hata kidogo.hvi kuna mikakati gani ya kuhakikisha chadema tunachukua nchi.
  nazungumzia kichama. achaa na mabadiliko ya katiba tunayopigania, na mikutano ya hadhara.
  una sera gani tulizo form na amabazo tunatekeleza ili kuhakikisha tunawini??
   
Loading...