MIFUKO YA MAENDELEO YA JIMBO- TUNAHITAJI UWAZI na RIPOTI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MIFUKO YA MAENDELEO YA JIMBO- TUNAHITAJI UWAZI na RIPOTI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zing, May 11, 2011.

 1. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Imekua kwa kazi kwa wabunge kama ilivyo kwa wnegi wengi kutaja mishahara yetu. hIlo tunaweza kuliewa.

  Sasa kuna hii mifuko ya jimbo amabayo inasimamiwa na wabunge.

  • Je ni wabunge wangapi wameshauriana na wananchi kujua vipaumbele vya wananchi? au as always ni wabunge wanajua nini wananchi wanahitaji?
  • Je ni wabunge wangapi wako tayari kuonyesha au wameonyesha matumizi na machangamanuo ya hii mufuko iliyo chini ya udhibiti wao.?
  • Sijui kama CAG naye analijua na atafanyeje kuhakikisha hii mifuko si kichaka ufisadi wa kimajimbo?
  • Je hii mufuko na fedha zina kinga yeyote kama wabunge walivyo na kinga fulani fulani.

  NB:
  Hii mifuko ilitakiwa kutumika kama mfano wa wabunge kuionyesha serikali how to be

  • accountable
  • effiecient and effective
  • Timely
  So far sijaona ikitolew ripoti ya mtumizi ya jimbo lolote la mifuko hii. Je tutegemee ripotiza fedha za mwaka 2011 zitoke 2015.

  Sidhani kama ni sawa . Binafsi naona Serikali imewaingiza kwenye mitego na wao wamenasa


  Nawasilisha
   
 2. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  wabunge wa CDM na CUF NCCR na hata CCM kuweni mfano kwenye hili. Atleast toeni financial report ya hizo pesa every three months..

  Au inabidi pesa za umma zitumike kuajili wahasibu kwa ajili hiyo????


  wabunge wa CDM , CUF, NCCR kuweni mfano kwenye hili. atleast toi ripoti ya matumizi ya hizo pesa every three months
   
 3. Zitto

  Zitto MP Kigoma Urban

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Mar 2, 2007
  Messages: 1,197
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Mimi napeleka muswada binafsi bungeni kufuta cdf law.
   
 4. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Zitto kama utafanya hivi nakupongeza .Huu ni mtego itakuwa ni aibu kwa wabunge CAG akianza kutoa ripoti ya mismanagement ya hizi CDF. Sasa wabunge mtaanza wapi kuikosoa serikali.

  Sijui kama utapata support ya kutosha huko bungeni kutoka kwa wabunge wenzako wa upinzani na CCM .but nakupa heko kwa nia ya kupeleka hiyo hoja ya kufutilia mbali. CDF at least kama una haja ya uwepo wake not under wabunges.


   
 5. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,051
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  Excellent, CDF sioni 100% its importance, na hii ni ilipitishwa na wabunge wenyewe wengi wao wale wanaolala bungeni i mean Viti maalum, hawa wafutwe pia kazi yao ni nini? These viti maalum ndio wale wa Ndiooooo/ Siyooooooo, then muswada kama huu wa CDF unapita, so to cut source hawa Viti maalum ambao ni mzigo, jobless MPs are troublemakers, watoke, wa nini?
   
 6. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,915
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Swala si kufuta CDF katika kipindi kifupi cha kuanzishwa kwake, ni vizuri tukae chini na kuchambua sababu zinazofanya mfuko husika usilete tija kulingana na malengo ya kuanzishwa. Sisi kama watanzania, tuwe na uthubutu wa kwenda katika ofisi za wabunge wetu huko majimboni na kuulizia utaratibu wa fedha za mfuko badala ya kupendekeza KIFO cha mfuko. Mie mbunge wangu Shabiby kwa kutumia fedha za mfuko amefanikisha kwa ukarabati wa barabara za vijijini huku Gairo. kwa haraka haraka picha iliyo mbele yetu ni namna ya kuwafanya wananchi wawe na UTHUBUTU juu ya matumizi ya mfuko na pia wabunge wetu wawe WABUNIFU.
   
 7. F

  Froida JF-Expert Member

  #7
  May 12, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Wananchi tuko nyuma yako,its another Ufisadi
   
 8. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #8
  May 12, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  Mkuu CDF ni mtego wa kuwang'oa meno wabunge. Subiri CAG akizana kutoa dosari kwenhe fedha hizo ndo utajua.

  Sasa taarifa ya fedha ya mapato na mtumiz ya serikali inatoka baada ya muda gani ? one year after. Taarifa ya matumizi ya hii mifuko inatoka lini. Hakuna finaciala report wabunge wangapi wana taaluma ya uhasibu?

  Serikali ina njia nyingi za kupeleka pesa majimboni. hii CDF ni danganya toto na aserikali kutaka kufunga ndoa na wabunge. kwa CDF hasa wabunge wa upinzani na wao watakuwa kama ni wa CCM.


  We unafurahia CDF kutengeneza barabara but subiri ripoti za CAG zikianza kuja ndo utaelewa kwamba ni mtego.
   
Loading...