Nape nauye hana hoja anawakilisha kilio,hasira na maumivu ya ccm. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape nauye hana hoja anawakilisha kilio,hasira na maumivu ya ccm.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kibona Dickson, May 12, 2011.

 1. Kibona Dickson

  Kibona Dickson Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nape Nauye katibu wa itikadi na uenezi wa halmashauri kuu ya CCM,anaonekana anataka kukifariji chama chake na hata mafisadi waliomo katka chama chake kwa kuanza kukurupuka kutoa hoja zisizo na uzito dhidi ya wapambanaji mahiri wa CHADEMA.
  Nape anakoteza hoja,analazimisha na kujenga hoja bila kufikiria na kutafakari kwa kina.Nape hana jpya,anaendeleza yaleyale yaliwahi kufanywa na chama chake,propaganda chafu dhidi ya CHADEMA.Yapo mengi yaliyosemwa dhidi ya CHADEMA na viongozi wake,kadri wakat unavyozidi kwenda,tuhuma hizo zimekuwya zikidhihirika kuwa ni uongo.
  Jana,Nape alitoa tuhuma nzito za uongo dhidi ya bwana SLAA,kwamba anashinikiza kulipwa mshahara wa tsh.mil 7.5 kwa hiyo ni mnafiki kwa kuwa amewahi kutoa hoja bungeni kwamba mishahara ya wabungu ipunguzwe kutoka ml.6.
  DK. SLAA alitaka mishahara ipunguzwe kwa wabunge wote kama mfumo mzima,hili lingeleta tija kwetu kama nchi.
  Nape anaelewa vizuri sana swala la bwana SLAA Limekaa ki motivesheni zaid,wala sio SLAA Aliyeshinkiza yote hayo,hayo yalikuwa ni maamzi ya halali ya CDM kama motiveshn kwa SLAA.Kama chama kimeamua kumpa slaa MOTISHA hiyo naona sio tatizo,ni tatizo kwa Nape na CCM kwa kuwa wanaumizwa makombora ya bwana SLAA,sasa wanaanza kuchanganyiwa.
  Kama kweli SLAA peke yake analipwa kiasi kwa lengo la kumpa motisha na kutambua mchango wake,kujitoa mhanga kuachia ubunge na kugomea uraisi naona sio tatizo.KAMA SWALA LA KULIPANA MISHAHARA MIKUBWA LINGEKUWA LA KIUMFUMO BASI NI TATIZO.NAUSHAURI NAPE AKASOME"Abraham maslows hierarchy of need"
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Si ungeunganisha haya maelezo kwenye ile thread nyingine
   
Loading...